Bora tuachane, nasema sio ridhiki yangu

Mwanamke mnapanga future mfanye investment kesho anakuletea bunda LA nguo na mawigi tutatoboa kweliii LEO NASEMA BORA TUACHANE
Yamenishinda bora tuaachane. namkumbuka sana lavalava
 
Haa haa haa hatimae finally
Salut imepgwa noumaaa kweli

Kama umepatia vle sema nyuma ya Oman
Tunavuta tu jasho huku
Hahah!! Imebidi nikujibu tu maana ulinishika koo kinoma... ila ukiona nakwepa kwepa vile ujue kuna mitego imetegwa [emoji23][emoji23]

Poa wasalimie sana huko
 
Pole sana mkuu,

lakini je,? Umeshampa onyo?
 
Sawa....umemwambia au unasema kwa sauti....
 
Mkuu Mwanamke haoneshi kubadilika,, unajaribu kumwelekeza kuhusu future kusave money na kuwekeza kwenye miradi haelewi kila siku I love you, na mizinga juu,, kiburi nacho hicho, looooohjh Hawa viumbe nimewanyoshea miguuu
Basi fanya kama mimi tu, then utakua mwenye furaha tele
 
Hahah!! Imebidi nikujibu tu maana ulinishika koo kinoma... ila ukiona nakwepa kwepa vile ujue kuna mitego imetegwa [emoji23][emoji23]

Poa wasalimie sana huko
Haa haa haa mitego lazma
Najua tu wanaume hatupit njia
Moja

Wamesalimika aiseee
Wape hii watoto wa bashite
 
Kivipi hyo nipe technique
Piga chini then fanya replacement haraka iwezekanavyo.
Na.... Punguza kulalamika, na kutafuta solutions za mahusiano yako kwenye mitandao ya kijamii...
 
pole sana. inatokea ukijiamulia kuchagua wa kuishi nae, lakini ukimshirikisha Mungu hizi stress hutozipata.
 
If you get a good wife you'll be happy otherwise you'll become a philosopher.
[emoji3][emoji3]naona unaanza kuwa socrate
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…