Bora tuachane, nasema sio ridhiki yangu

atafute mkali huku hana pesa, atampata vipi
Mkuu pesa ya Kula tu IPO SIO kwanmba fukara hivyo,, Ila huwezi kufuja Mali ungali kijana tunawekeza kwenye miradi ili one day tutoboe au SIO mkuu
 
Mimi nimekuelewa sana
 
Pata Like ya kweli, kisha tuendelee na maisha ya baadae.

Jenga maisha yako , usijenge penzi kwa lazima na gharama kubwa; litakusumbua.
 
Pata Like ya kweli, kisha tuendelee na maisha ya baadae.

Jenga maisha yako , usijenge penzi kwa lazima na gharama kubwa; litakusumbua.
Nimekusoma sanaaa kiongoz,,,,
JENGA MAISHA KWA GHARAMA, SIO MAPENZI .[emoji3]
 
Sometimes itabidi ukubali kuwa umekutana na mtu ambae si chaguo lako. Yes sio chaguo lako.

Mwanamke wa aina hiyo mara nyingi hana kazi.. hawanaga future.. wala hawahangaiki. Kutwa vigodoro,kutwa sherehe, kutwa harusi, kiguu na njia. Akipata hela anawaza nguo.. kila siku vibomu. Ukiwa huna hela ananuna, hana raha. Loh yanini kuangaika na mtu mzima mwenye akili za kitoto...

Akwende tu..
 
Akitoka kwako mwambie aje kwangu...me nammudu..nimeku DM namba yangu mkuu.
 
Aiseee hyo no 1,2

Nikifanyiwa hvo mara 2
Navunja relationship asubuh
Na mapema sana
 
[emoji16][emoji16][emoji16]... hivi viumbe vikiamua kukunyoosha huo mnyoosho ni zaidi ya pasi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…