Hii hospitali ya wapi tena? Duuuh,kweli ndio maana kuwa mwanasiasa deal siku hizi. Ukiugua unaweza kufa kwa gonjwa linalowezekana kama hujulikani nchi hii au huna wa kukulipia kwenda nje.
Hii ni hospitali ya Mkoa wa Morogoro!Hapa ni mjini vipi huko interior ugogoni,usukumani,ufipani,unyirambani ,umakondeni nk,
bora mwenzetu mtoto wa mkulima yuko UK matibabu,ana shida gani kulazwa General wakati umeme hakuna???????
Jamani haya ndiyo tunayolalama kila leo...hebu tuungane oktoba tufanye mabadiliko kwa kuchagua chama na viongozi makini....ili wote tutibiwe hapa badala ya wateule wachache kwenda ulaya kutibiwa.........
Hii ni hospitali ya Mkoa wa Morogoro!Hapa ni mjini vipi huko interior ugogoni,usukumani,ufipani,unyirambani ,umakondeni nk,
bora mwenzetu mtoto wa mkulima yuko UK matibabu,ana shida gani kulazwa General wakati umeme hakuna???????
Hata wakiikagua siyo hiyo tu yenye matatizo na wao wako responsible kwa hali ya hospitali hizi. Kweli kura zetu za kanga,tshirt na sukari zinatuponza kiasi hiki! Hii nchi kuna wakati tutahitaji kuchapa watu viboko ili wafanye kazi inavyotakiwa