Bora Omarion

Gazaniga

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
1,051
Reaction score
361
Habarini,

Kama ni mwanaume mzoefu wa watoto wazuriwazuri itakuwa kazi rahisi tu kugundua kuwa huyu mhadithiaji sijui wa tamthiliya flan ya kila jioni kwny TV 1 ana figure ya ukweli.

Huwa natamani sana ageuke nione huo mzigo alioubeba na miguu yake,piga ua huyu mtoto lazima ana figure ya ukweli.Yule jamaa anayetangaza naye sijui ana mzuka naye huyu manzi au yupoyupo tu maana dah.
 
Mimi nina namba ya bwana ake ni komandoo wa JWTZ anapatikana lugalo labda nikupe ya bwana ake yeye bwana ake atakupa namba ya mkewe mtarajiwa, ondoa shaka nimtu mpole sana bwana ake.

Huyo hana hayo mafuta ninayoyataka kwa huyo mdada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…