Bora niwe single maisha yangu yote

Bora niwe single maisha yangu yote

Goku 255

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
440
Reaction score
849
kulingana na muonekano wa maisha saiv naafadhalisha kuwa single kwa sababu upendo katika maisha ya ndoa haipo mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya utajiri ilhali mwanaume anampenda mwanamke kimwonekano sanasana kwa hikii kizazi cha elf 2 ndicho ambacho hakiambilik kabisa kila kitu wao wanakijua kitu ambacho kimechangia ndoa kutokuwa na heshima ni kila mtu ni mjuaji tofauti na enzi za kale ambako heshima na upendo ilkuwa msingi wa ndoa miaka hiyo ungependw bila chochot na mapenzi yalkw na nguvu tofaut naasaiv ukitongoz dada yoyote kitu cha kwanza anakulz ni akaunti inasoma na kama haisomi anakueleza kuwa yeye hatembei na kinyago kitu kinachonyesha kuwa maisha saiv kupata upendo wa kweli n nadr sana aslimia kubwa ni usumbufu na kuchepuka ni kitu cha kawaida kuonyesha usipokuwa makini unaweza ukaua ama ukajiua na mimi kivyangu nimetamanigi mapenzi ya kweli lakini imekuwa ndoto mimi na afadhalisha bora niwe single maana upendo haupo na kupenda ni mateso bora niwe single maisha yangu yote
 
Kwamba kisa wanauliza account inasoma ndio huta oa kabisa ? Mbona kama umekubali kuwa wewe accounts zako hazitasoma kabisa?
 
kulingana na muonekano wa maisha saiv naafadhalisha kuwa single kwa sababu upendo katika maisha ya ndoa haipo mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya utajiri ilhali mwanaume anampenda mwanamke kimwonekano sanasana kwa hikii kizazi cha elf 2 ndicho ambacho hakiambilik kabisa kila kitu wao wanakijua kitu ambacho kimechangia ndoa kutokuwa na heshima ni kila mtu ni mjuaji tofauti na enzi za kale ambako heshima na upendo ilkuwa msingi wa ndoa miaka hiyo ungependw bila chochot na mapenzi yalkw na nguvu tofaut naasaiv ukitongoz dada yoyote kitu cha kwanza anakulz ni akaunti inasoma na kama haisomi anakueleza kuwa yeye hatembei na kinyago kitu kinachonyesha kuwa maisha saiv kupata upendo wa kweli n nadr sana aslimia kubwa ni usumbufu na kuchepuka ni kitu cha kawaida kuonyesha usipokuwa makini unaweza ukaua ama ukajiua na mimi kivyangu nimetamanigi mapenzi ya kweli lakini imekuwa ndoto mimi na afadhalisha bora niwe single maana upendo haupo na kupenda ni mateso bora niwe single maisha yangu yote
Sijasoma. unataka akupende huyo mama yako? Tafuta pesa we maskini.
 
tofauti na enzi za kale ambako heshima na upendo ilkuwa msingi wa ndoa miaka hiyo ungependw bila chochot na mapenzi yalkw na nguvu tofaut naasaiv ukitongoz dada yoyote kitu cha kwanza anakulz ni akaunti inasoma na kama haisomi anakueleza kuwa yeye hatembei na kinyago kitu kinachonyesha kuwa maisha saiv kupata upendo wa kweli n nadr sana
Mkuu, kwanza naona bado upo stage ya UVULANA, Uanaume ni MAJUKUMU.

Pili, Mwanaume ili uwe na mwanamke ni LAZIMA uwe na uwezo wa Kumlinda, Kumtunza, kula mzigo ipasavyo na kumuongoza. Ukiona huwezi kutimiza hayo basi ishi kama YESU tu, achana na NDOA.

Kuoa sio lazima, ila kuhudumia mwanamke unayemuoa ni LAZIMA (kimila, kisheria, kidini, kitamaduni, kiganga).

Kizazi cha sasa madogo mnaanza mapenzi hata Condom haziwatoshi, mmekuwa mnalia lia kila kukicha, mnataka muonewe huruma kwenye mapenzi, mnataka wanawake wawapende kama mnavyopendwa na Mama zenu(yaani wawapende bure bure tu halafu wajihudumie pia).

Be a Man, Stay Taliban.
 
Yaan nilipokuwa nasoma ndivyo nilivyokuwa nazidi kosa pumzi.Mwandiko

Pole sana mkuu
 
ukipigwa vizuri utasema ni kwanini unataka kuwa single. Kuna kitu unaficha
 
Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa MUNGU, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa. ILA AOMBE KWA IMANI, PASIPO SHAKA YEYOTE; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari lililochukuliwa na upepo, na kupeperushwa huku na huku. Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa BWANA. Mtu wa nia mbili husita-sita katika njia zake zote.”
Kwenye maombi Kuna Imani ya kuomba na kuna Imani ya kupokea.
 
Poleni vijana wa sasa, maana wanawake Kwa sasa hawapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom