Watoto Bwana, Haya. Ukikua utajifunza ni wapi ulipikoseaAsalamu wanajamvi humu.
Kama kichwa kinavyojieleza nimeamua kuurudia u playboy kwa mabinti maana nimeona kujifanya unapenda mtu ni donda la moyo.
Nina mpenzi wangu nipo nae kama huu sasa ni wezi wa nane. Sasa imeibuka tabia anaaga anaenda kuona ndugu zake halafu akifika huko hapokei cm mpaka atoke ndo akupigie. Sasa haya mm siyawezi bora niwe nachapa tu na kulala mbele maana hawaviumbe ukijifanya unawapenda wanakuona mwehu.
Asante nimekubali hiloHahahaaa, pole sana dogo. Karibu kwenye ulimwengu wa kupenda.
Nikusadie tu, usipende mwanamke hata siku moja.
Kumpenda na kumpa mwanamke moyo wako ni sawa na kuuweka rehani, unauchezea kamari, kula na kuliwa viko sawa ingawa kuliwa ni kubwa kuliko kula.
Huu ni ushauri wa bure, uuchukue au uuache ni shauri yako.
Asalamu wanajamvi humu.
Kama kichwa kinavyojieleza nimeamua kuurudia u playboy kwa mabinti maana nimeona kujifanya unapenda mtu ni donda la moyo.
Nina mpenzi wangu nipo nae kama huu sasa ni wezi wa nane. Sasa imeibuka tabia anaaga anaenda kuona ndugu zake halafu akifika huko hapokei cm mpaka atoke ndo akupigie. Sasa haya mm siyawezi bora niwe nachapa tu na kulala mbele maana hawaviumbe ukijifanya unawapenda wanakuona mwehu.
Kama uko chini ya miaka 28,jisogeze mbele za muumba akuandalie mke,kama uko 30 and above muombe akupe mke kama uko chini ya 25 kazana sana kujenga maisha,NYEGE HAZIISHINapokea ushauri karibu
Aiseeeeee mkuu umenifumbua macho nilikuwa sijui mm nilikuwa najifanya bingwa wa kupenda.Mwanamke si mtu anayetakiwa kupendwa, never. Mwanamke hapendi kupendwa yeye anapenda kutamaniwa tu na kuwa used, ukimpenda LAZIMA atachepuka kwa kukuona wewe fala au mwanamme wa Dar. Ukitaka mwanamke akuheshimu, kuwa na mademu kadhaa na usimfiche ili ajijuwe yuko na wapinzani ila ukikaa tu na utata wako kama vijanadume vya Dar, basi hilo limekula kwako.
Kweli haziishi,Kama uko chini ya miaka 28,jisogeze mbele za muumba akuandalie mke,kama uko 30 and above muombe akupe mke kama uko chini ya 25 kazana sana kujenga maisha,NYEGE HAZIISHI