Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,636
- 44,392
Naww utamgaia nn?!Nyingi nyingi tu, yaan zinitoshe mpaka nigawe kama ivan wa zari
Naww utamgaia nn?!Nyingi nyingi tu, yaan zinitoshe mpaka nigawe kama ivan wa zari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimejiajiri mwenyewe katika kilimo of corse kwa mwezi ninaweza kupata mpaka laki tisa wewe una fanya Kazi gani
Ndio maana hawaoelewi kwa kuchagua wenye vipato vikubwa hawajui walio juu walianzia chiniKilimo......
utasubiri PM sana nani kasema wasaa wanataka kuolewa na wakulima, wanataka wale wa mishe town out kila week then wewe unadhamiria kuwapeleka shamba