Bora nimwache aende tu

Umesema takko huna! Unakalia nini sasa!
 
Inferiority Ndio Adui Wako.

Jiulize kwanini wanakuwa na wewe? (Naamini sababu una vigezo)

Kisha jiulize kwaniji wanakuacha njiani? (Sababu haujiamini utakuwa ni mtu mlalamishi lalamishi kila nukta)

Rekebika wewe dada, Jikubali ukubaliwe
 
Makosa ya baba yako na mama yako
 
I WOULD RATHER BE SELFISH FOR MY OWN HAPPYNESS, BE ONE!
 
ukijikubali utapata mwanaume wa ukweli. we jikubali tu kua upo hivyo na amini atakaekuja atakua kakupenda hivyohivyo
 
Mleta mada usijikatie tamaa duniani bado tupo wanaume tunao oa tabia na akili za mwanamke na sio umbo na sura,subiri tu atajitokeza anaekufaa.
 
Jikubali kwanza,ipo cku atatokea atakae kupenda kw jinsi ulivyo,jitahidi kuwa mcha Mungu kwa maana ndio sifa ya kuu kw mwanamke(hata mm huwa navutiwa sana na mwnamke mcha Mungu.
Hilo nalo neno
 
Weka tu PM open...utawapata wa type yako...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…