Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
UmewehukaNjoo nikunyonye
Mungu atakuuajalia utampata atayakayekupenda zaidi ila unatakiwa ujipende na uwe na amani na furaha hili ndo la muhimuMi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu
Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao
Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana,,, hakuna nguo nayovaa nikapendeza...
Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia
Mama umenitafutia mchumba ana tako sura hata mbuzi anayoPole sana, hata ingekua ni mimi ningekuacha..
Bora ukose vyote nitavumilia ila sio tako!!
Pole sana mkuu ila usikate tamaaMi nimekata hata tamaa Sijui huyo atakae kuja nae ataniacha tu na kuniachia maumivu moyoni
Yatakuja baadae??hata tako??Meno mekundu ndio yako vipi??
Usikate tamaa hivo Mungu ametuumba kwa pair, tatizo tuna haraka sana na mambo ambayo yanahitaji ustahmilivu, utapata wako zidisha ibada Mungu hua anajibu maombi ukimuomba kwa nia
Jifunze kujithamini nakujipenda mwenyewe kwanza mengine yatakuja baadae
Usilolijuaaliyekuoa nae atakuwa haeleweki tu ka ww
Ukuje kwa mimi, uwe kipoozeo wife akiwa period.Mi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu
Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao
Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana,,, hakuna nguo nayovaa nikapendeza...
Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia
mkuu, huenda anamaanisha kwamba, pamoja na kwamba haeleweki, bado amefanikiwa kuolewa. Hata ivo naamini mme wake anamuelewa..,,Mmeolewa halafu hamueleweki,,,
Hata mm sieleweki sina shepu sina sura na miguu mibovu nimeolewa sista.....usikate tamaa naamini anaekupenda yupo iko siku atakujaMi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu