Bora nimwache aende tu

Pole sana kikubwa unatakiwa kwanza ujikubali ulivyo ukijikubali tu utaishi sana kwa amani kingine kuna maisha baada ya mapenzi acha maisha mengine yaendelee kama kwenye mapenzi huna bahati napo
 
Weka kapicha. Itapendeza zaidi
 
pole mtoa bandiko ukiona hadi wewe unajikataa ulivyo jua lazima ni boko(left hand wa kutosha)

yaani ndo ile unaenda kama unarudi, hakuna namna mpende mwanao tu.
 
umejikatia tamaa mnooo jaman mi nnachoamini hakuna mwanamke mbaya mwenzangu, mapungufu yako unapambana nayo tu kama unapenda miwowowo si uvae tait za kichina meno mekundu kama huyapendi kasafishe kujikatia tamaa haisaidii
 
Pole sana mkuu ila unapaswa ujikubali jinsi ulivyo na ipo siku utapata mtu sahihi kwa sababu kila binadam kaumbwa na mwenzi wake
 
Hili tangazo umelipia lakini...!!!

Maana kifasihi hapa kuna zaidi ya kichwa cha habari tajwa...
 
Pole dar ila k ipo?
 
Wewe hakuna mwanamke asieolewa dunia hii labda kama Mwenyezi-Mungu haja mpa huo wito.
Mimi nimeona wanawake wabaya sana wasio na mvuto hata wana watoto kadhaa... Mwanaume akipenda hua anapenda kweli.

Unakosea unapojifananisha na na wengine we jikubali Mungu anakupenda kila mwanamke ana kitu kizuri kwenye mwili wake.
 
Aiseee, ungeweka picha ingekuwa vizuri sana.
 
Thread Ya Oct 18 Ulisema Mumeo Alikufa Hi Ya Leo Umesema Alimludia Ex Wake ,,, Tuelewe Lip
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…