[emoji13] [emoji13] [emoji13] aliyekuoa nae atakuwa haeleweki tu ka ww[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]Pe jamani ila unatakiwa uanze kujikubali kwanza wewe kabla haujakubaliwa na watu mbona sie tumeolewa na hatueleweki
Tatizo kubwa unalo wewe wala si hilo, bali ni kujilinganisha na wengine. Jikubali wewe kama wewe, mtoto kike ukianza kujilinganisha na wengine. Hutoishi kwa amaniMi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu
Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao
Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana. Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia
Nimejikuta nacheka tu kwa sautiPole sana, hata ingekua ni mimi ningekuacha..
Bora ukose vyote nitavumilia ila sio tako!!
Mi nimekata hata tamaa Sijui huyo atakae kuja nae ataniacha tu na kuniachia maumivu moyoniMeno mekundu ndio yako vipi??
Usikate tamaa hivo Mungu ametuumba kwa pair, tatizo tuna haraka sana na mambo ambayo yanahitaji ustahmilivu, utapata wako zidisha ibada Mungu hua anajibu maombi ukimuomba kwa nia
Jifunze kujithamini nakujipenda mwenyewe kwanza mengine yatakuja baadae
Hata usikate tamaa kila kitu kimepangwa muda tu ndio hua mwalim na uwe mvumiliv kwa kipindi ambacho utakua unamsubiri wewe jikite zaid na maisha yako na mwanao usikate tamaa kabisaMi nimekata hata tamaa Sijui huyo atakae kuja nae ataniacha tu na kuniachia maumivu moyoni
Kauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wanguPe jamani ila unatakiwa uanze kujikubali kwanza wewe kabla haujakubaliwa na watu mbona sie tumeolewa na hatueleweki
Sasa hapo nimekosea kipi??? Ndio hayupo dunian labda kama ungesema nielezee historia nzima ilikuaje ila aliniacha na Alifia mikononi mwangu nikiwa nae.....na nibaada ya wazazi kufatilia maana alitoa mpaka mahar na mambo yalifika hadi kanisan jaman ni story ndefu sana ....ila kifupi tu siwez tunga wala kusema uongoKauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wangu
hii watu wa JF hawa nashindwa kuwaelewa unaweza jipinda toa ushauri mzuri kumbe wananzingua tuu
hapo umesema 2013 uliolewa na mumeo kafa
Umesema vyema, asome hapa kwa makini.Jipende mwenyew kwanza ndo watakupenda.shukuru Mungu kwa kua hvyo usilalamike atakuja atakae kupenda zaid
Wengine hawana ata hyo miguu membamba na wanafurahia maisha
Mmeolewa halafu hamueleweki,,,Pe jamani ila unatakiwa uanze kujikubali kwanza wewe kabla haujakubaliwa na watu mbona sie tumeolewa na hatueleweki