Bora nimpende adui kuliko rafiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bora nimpende adui kuliko rafiki

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Von Mo, Oct 10, 2012.

 1. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]Marafiki wengi ni wanafiki, wanakuhoji maendeleo yako ukidhania wanapata insipiration kumbe roho zinawauma umewapiga gap, wakati nikitafuta job walijifanya kunishauri kumbe nikipita wananinyoshea vidole, hawakujua Mungu wetu ni mwaminifu hamtupi mja wake wanaanza kunihoji imekuwaje nimepata job, wakiwa na perception kwamba sikustahili hii nafasi, lakini ni nani awezaye kutabiri mambo ya kesho kama siyo Jehova, Mungu wa Israeli. Sasa nimeamua nikae kimya. Ndugu zangu ni Bora nipende maadui kuliko marafiki,maadui hawawezi kubadilika lakini marafiki wanabadilika .

  [/FONT]

  [FONT=&quot]Kumbe saa zingine tunapo haso mtaani wengine wanafurahi wakidhani hatuna Mungu,[/FONT]
  [FONT=&quot]Kweli kabisa ikiwa Umemtumaini Mungu kwa 100% ukiomba kwa moyo uliopondeka na kuonyesha juhudi zako hakuna lisilowezekana kwake Mungu.[/FONT]

  [FONT=&quot]Gud day the friendz of mine.[/FONT]
   
 2. T

  Tetra JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Yamewakuta wengi sio we peke yako,,kuna hadi wengine waliimba nyimbo mfano
  1.MR NICE Kikulacho
  2.NYOTA NDOGO Kuna watu na viatu
  In short,,wapende usiwaamini
   
 3. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Rafiki mnafiki! kweli kabisa! uwe muangalifu!
   
 4. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa! Mwenyewe NIMENUNAAAAA!!!!! Iweje upate kazi ya 6 FIGURES, wakati wenzio TUNAFOULISHA Daily!!!!! NIMENUNAAAAA SANAAA! Haiwezekani sisi tukufariji alafu wewe ulete janja ya fisi kwa KUPATA BIG DEAL NA KUNYUTI KIMYAAAAAAAAAA!!!! HUKU UKILIFOULISHA MWENYEWE KIBINAFSI TENA KIMYA KIMYA? Khaaaaaaaa! Alafu lilivotiki FULL MASHAUZI NA KUTUCHAPA BAKORA!!!! Eboooo! Eti watutishia wataka KUAMIA MASAKIII KWA APARTMENT? Mara ohooo mi sinywi tena pale KIJIWENI SIO LEVEL ZANGU NANYWA DIDYS au Q BAR tuuuu! BAAAAAAAAAASS!!! Nyamafuuuuu! Tena unabahati sikujui ulikopata kazi, ningekuja KUKUHARIBIA!!!! Ngoja NIMALIZIE KUNUNA KWANGU KWA FANTA BARIDIIIIII!!!!!!!!!!! LOLEST!!!
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,184
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu anayeishi ameniahidi kuwa atanipigania nami nitanyamaza kimya.
  Endelea kumshika Yesu aliye rafiki wa kweli wala usimwache, kwani ni yeye pekee atakaye kupandisha UTUKUFU HADI UTUKUFU
   
 6. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hivi bado kuna watu wana marafiki? Mbona hayo mambo ya urafiki yalishaisha zamaniiiiiii. Hujui rafiki yako ndiye adui yako mkuu?? Futa kabisa habari za marafiki. Ishi wewe kama wewe, salimiana na kila mtu, msaidie yeyote unayeweza, tenda wema kwa yeyote utakayemkuta popote, biashara ya marakiki FUTAAAAAAAA!
   
 7. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Mbona masela si ni shangwe tu, upate kazi nzuri ndo tunafurah as kupata mshkaji mpya wa kumkopa tukifulia...tunachukia pale mwana tuliokuwa wote kitaaa upate mchongo mzuri halafu ututenge ulete za kidingi kujifanya mkax kwa wana hapo lazima tukumaindi tu.... Tatizo wakuja ndo wanaleta mbwembwe kikazi kidogo tu vibega juu na mbwembwe but wa downtown hawatupani kamweeee.. Ndo maana hadi leo ramadhan dau anaenda kijiwen migo migo kucheza bao na watu wake, kelvin twissa upanga sana tu, abdala shelukindo sana tu pale container oystrbay, hasheem thabeet sana tu pande za sinza, yaan na wengine kibao friends wa ukweli hawaachan kisa michongo au kazi ndo maana hata juzi kati paru and stella walikuw pamoja fiesta na wengine kibao as mnajuana since childhood
   
 8. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nilishajifunza siku nyingi sana kuhusu marafiki better to deal with my dear lovely family they will never blackmail me ever aver,marafiki bana ,ngoja nikupe kisa cha ukweli kabisa nimepitia maisha magumu sana yenye misukosuko na dharau nyingi sana,nilikuwa na rafiki yangu kipenzi sanana niliishi naye na familia yangu,ikafika wakati kwa sababu ya background hakuna aliyeamini maisha ninayoishi sasa,mungu alininyanyua kutoka 2km -100km bwana we siku nimetoka honeymoon alipoziona pete zangualiniuliza hiyo ni tanzanite!nikamwambia kama munguaishivyo ni tanzanite ,basi tukahama pale tulipokuwa tunakaa tukahamia kwetu nikiwa na yule rafiki yangu alikuwa hajawahi paona kwangu alipofika tu pale alitaharuk akaniuliza ni gharama ngapi nikamwambia its more than 200m akataharuki alipoondoka aliacha na begi lake na kila kitu akakata mawasilianompaka leo,seems hakufurahia kabisa mafanikio yangu ,yule akawandio rafiki wa mwisho na sitaki tena rafiki ,
   
 9. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimeambiwa eti jamii ya kabila la wachaga hawana tabia za kuwa na marafiki? wanakuwaga na jamaa tu wa kupotezea.
  Kuna kabila zingine urafiki una nafasi kubwa kama wapare,wamakonde,wakwere, wandengeleko. Kigezo cha kuwafahamu huwa hawana maendeleao binafsi.
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  .tatizo sio marafiki........

  Tatizo ni sie wenyewe na uchaguzi wa rafiki......

  Urafiki upo wa aina nyingi kutegemea na tabia ya rafiki husika....nina maanisha ukishamchunguza vya kutosha rafiki utajua umweke kundi gani.....

  Rafiki mpenzi/best au rafiki wa stori tu.... Kuna rafiki wa kunywa nae bia tu.... Na rafiki wa kubadilishana mawazo tu..... Na kuna rafiki wz kutabasamiana tu.......na rafiki wa kupeana 'hi' tu.....

  Kuna rafiki mwingine ni wa kufuata umbea tu.....
   
 11. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mi huwa sina interest na bongo fleva ila kuna wimbo umeimbwa na Mr. Sugu (sihitaji marafiki) nimeupenda sana!
   
 12. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  umenena vema, mwenye kusikia na asikie.
   
 13. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  aysee nakuunga mkono na nakuongezeana mguu...............kama kuzikwa watu watakuja tuu! ya nini kupeanza presha za moyo! yaaaaani ..............mh!!!   
 14. k

  kiparah JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Martin LutherJr. aliwahi kusema hivi:
  "Siopogi kelele za maadui zangu, lakini ukimya wa marafiki zangu unanitisha!
   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kwenye issue za marafiki naweza kusema maneno milioni moja
  Nimejifunza sana na uamuzi wa mwisho nilikuwa nao ni kuwa rafiki yangu ni familia yangu tuu mke na wanangu ndio marafiki zangu wa ukweli
  Sina mtu ambaye naweza mwita rafiki maana wengi ni wanafiki wanacheka na wewe usoni ila moyoni ni wabaya sana
  So bora kukaa na watu wanaoitwa washkaji kama alivyosema BADILI TABIA hapo juu wengine wa kunywa bia siku moja moja, au kusalimiana au kupeana ushauri wa mambo madogo madogo yamaisha ila sio masuala nyeti hayo nitaongea na familia yangu, tukutane club kula bata kwa pamoja ila sio mtu kwa kumwambia huyu ni rafiki yangu ni unafiki uliopindukia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  maybe it is you who needs to change....uchaguzi wako wa marafiki ni mbovu. niangalie hilo
   
Loading...