Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Kwel kabisa maana jna niliyopanga nao kuandamana ndo hao wakanisaliti jmn una haki ya kusema ivo kbsHakika tumeanguka sana tumeshindwa kuandamana yaan hii nchi hakuna wanaume kabisa sijui ,yajayo yanahudhunisha kabisa,kuna mikoa tulitegemea lazima kinuke kama Mwanza,Dar,Arusha,Mbeya,Musoma lakin kote kimyaa tumeogopa police ,mi nilipigwa teke moja nikakimbilia na kulala kabisa maana hakuna mtu barabarani ,,wale wanasiasa wanaofungwa fungwa hivi si mgejitokeza na nyie yaan hakuna mtu wa karibu wa kujitoa sadaka akaongoza maandamano,basi tunawashukuru watanzania diaspora kwa kuonesha kutusapoti maana nyie mpo kwenye nchi zenye social service nzuri japo hamkujitokeza kwa wingi sana kama tulivyotegemea lakin mmeweza sisi huku hata kuthubutu hatujaweza na mikwara ya wajeda na police kazi kweli
Lakin kungekuwa hata na vichwa vitano tu vikisimama na kuamsha dude nadhani ingekuwa poa lakin nadhani maandamano pia ni gharama kunatakiwa baadhi ya kikundi kijitoe haswaaa basi tuwe tunakodi hata waarabu jamani wanaume wa Tz waoga
Basi nawaomba wale mnaokujaga huku na mikwara yenu oooh mnaandika upuuzi tu na kujifanya nyie mna akili mtukomeee muende kwenye majukwaa mengine maana hata nyie hatujawaona hata mkiandamana lakin mkija humu jf wakali wakali na kujifanya mnajua kila kitu
Mtuache kina ,mama Sabrina tuendeleze kuchatika,kungonoka na story za mapenzi tena na nyie washauri nasaha mje tu huku maana hamuwezi lolote
Kujifanya kule siasani kupiga kelele tu
Mi nipo mwanza,,,sasa kwanin hamkuwapa sapoti mkawa wengi zaidiiMama Sabrina mbona wenzako waliandamana? we ulikuwa wapi ila idadi yao ilikuwa kiduchu kweli ila bahati mbaya kwao na nzuri kwa polisi wapo mikononoi mwa sheria
baby alinambie hana machozi yakulia, so ikabidi niende kazini tuu niachane na hayo mambo coz kumliza mtoto wa mwanamke mwenzako si vzuriMi nipo mwanza,,,sasa kwanin hamkuwapa sapoti mkawa wengi zaidii
Unaona sasa mme wangu nae aliniambia "Mama Sabrina I need you" jamani ndio maana yalishindikanababy alinambie hana machozi yakulia, so ikabidi niende kazini tuu niachane na hayo mambo coz kumliza mtoto wa mwanamke mwenzako si vzuri
Pole my dia inabidi kuwe na watu wa kuongoza maandamano wajitoe kabisa la sivyoKwel kabisa maana jna niliyopanga nao kuandamana ndo hao wakanisaliti jmn una haki ya kusema ivo kbs
Nawe jolie alikuzuiaaAisee....
Mimi nipo maporini huku..nikirud mjini lazima niingie barabaran mwenyeweNawe jolie alikuzuiaa
ndo hivyo sasa nadhani twachane nayo tuu maana tayari twahitajika tena sana, hakuna anaependa kuachwa peke yake tena akiwa bado kijana mwili unaitikaUnaona sasa mme wangu nae aliniambia "Mama Sabrina I need you" jamani ndio maana yalishindikana
Haahhahaaj unaandamana peke yako na bangoMimi nipo maporini huku..nikirud mjini lazima niingie barabaran mwenyewe
Haya tusimsumbue da mangr kumwambia kero zetundo hivyo sasa nadhani twachane nayo tuu maana tayari twahitajika tena sana, hakuna anaependa kuachwa peke yake tena akiwa bado kijana mwili unaitika
hayo si maandamano ila andamo ha ha haaaaa haaaHaahhahaaj unaandamana peke yako na bango
Mbona nmekuona Bagamoyo juzi. Mwanza umeenda lini ?Mi nipo mwanza,,,sasa kwanin hamkuwapa sapoti mkawa wengi zaidii
Mbona nmekuona Bagamoyo juzi. Mwanza umeenda lini ?Mi nipo mwanza,,,sasa kwanin hamkuwapa sapoti mkawa wengi zaidii
Yaan hahaahaa hadi na vifaruMbona jeshi la polisi wameandamana