Pole sana,usijiue-maana ushaambiwa "usiue" na mandiko matakatifu
haya mambo yapo,na wewe si wa kwanza kukupata,ngoja akae kwa muda huko alikoolewa then atachuja yeye mwenyewe na kujua wapi alitakiwa akae,kama kapangiwa kuwa wako-usishangae kuona anakutafuta na kuanza kuomba msamaha