muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,923
- 14,917
Huna mtoto wala mimba ya kusingiziwa,mzazi mpuuzi.
kwakua kilimo ni sehemu ya tulio wajinga poa. mkaribishe huku, ila atahitaji bwana shamba.
Hilo umekumbuka????!.
Ni aheri mitihani ya ACSEE ikazwe kisawasawa wafaulu wachache wapewe mikopo wote kuliko hii kadhia watoto wa maskini kufunga mabegi kurudi makwao. Otherwise mechanism ifanyike kuruhusu private org kutoa mikopo kwa wanafunzi.
Kwa vile wewe sio mwalimu tuishie hapo.Na ikikazwa na wanafunzi wakakomaa wakafaulu wote itakuaje??.
Kwa vile wewe sio mwalimu tuishie hapo.
Mkuu tulichagua elimu bure hadi form four, hii ya chuo kikuu bure tulikataa, umesahau Mara hii?Bora Mtoto wangu alivyo feli Darasa la saba,bora aendelee tu na kilimo maana ata angefika Chuo angekosa mkopo kwa iyo kaniondolea stress za kusomesha maana uko mbele angekosa mkopo