Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Bora Mtoto wangu alivyo feli Darasa la saba,bora aendelee tu na kilimo maana ata angefika Chuo angekosa mkopo kwa iyo kaniondolea stress za kusomesha maana uko mbele angekosa mkopo
Hiv Na wewe ni mzazi kweli au pombe iko kichwani mkuu,,,Bora Mtoto wangu alivyo feli Darasa la saba,bora aendelee tu na kilimo maana ata angefika Chuo angekosa mkopo kwa iyo kaniondolea stress za kusomesha maana uko mbele angekosa mkopo
nadhan na yeye anajuta sana kua na mama kama wwBora Mtoto wangu alivyo feli Darasa la saba,bora aendelee tu na kilimo maana ata angefika Chuo angekosa mkopo kwa iyo kaniondolea stress za kusomesha maana uko mbele angekosa mkopo
Alafu unamatumaini kabisaa kuwa siku moja umasikini utaondoka kwenye familia yako???
Jiongeze mkuu.