Bora kuwa DC kuliko DED

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Ni mara mia uwe Mkuu wa Wilaya kuliko kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya, japokuwa DC hana miradi na fedha hazipitii kwake.

Ukiwa DED hulali vizuri, una watumishi wengi , una miradi mingi na fedha nyingi zinazohitaji umakini wakati wote.

DC humuagiza DED. DC ni mwakilishi wa Rais kwenye Wilaya, ana power na kila kitu wakati wote na ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama (KUU).

Mshahara wa DC ni mkubwa kuliko wa DED.

Ukishakuwa DC ni rahisi sana kuwa RC , Balozi au Mkurugenzi wa Shirika kubwa.

uDED aisee hapana
 
Muundo wa utawala ubadilishwe, unatumia fedha nyingi sana za walipa kodi. Wilaya moja ina DC, DAS, DED, Mwenyekiti wa Halmashauri/Meya juu yao mkoani wapo RC na RAS!
Wilaya hiyo hiyo bado ina Mbunge au Wabunge kadhaa..
 
Ni mara mia uwe Mkuu wa Wilaya kuliko kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya, japokuwa DC hana miradi na fedha hazipitii kwake.

Ukiwa DED hulali vizuri, una watumishi wengi , una miradi mingi na fedha nyingi zinazohitaji umakini wakati wote...
Labda ukiwa mvivumvivu ndo unaweza kutaka kuwa DC, lkn kama u need to be active na kushughulikia maendeleo ya wananchi DED is adviselable ingawa nafasi zote ni za kiuteule kutoka kwa Bwana mkuu wa nchi!!
 
Ni mara mia uwe Mkuu wa Wilaya kuliko kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya, japokuwa DC hana miradi na fedha hazipitii kwake.

Ukiwa DED hulali vizuri, una watumishi wengi , una miradi mingi na fedha nyingi zinazohitaji umakini wakati wote...
Sawa ded ana ana stress ila anayo hela asee..hivi hujui kila dokezo lazima awepo.

Bado zile 10% za miradi...acha na ded hao jamaa wako na pesa.

Halafu masuala ya ubalozi au ukuu wa mkoa ni konekisheni tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni mara mia uwe Mkuu wa Wilaya kuliko kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya, japokuwa DC hana miradi na fedha hazipitii kwake.

Ukiwa DED hulali vizuri, una watumishi wengi , una miradi mingi na fedha nyingi zinazohitaji umakini wakati wote...
Wengi hupata kesi......hata uwe smart vipi....

Labda uwe mnoko na mtu wa spying Sana....inabid uwe na informer wa uhakika ikibidi outsource na train your team kufanya SWOT kweny KILA hatua na maamuzi ya matumiz ya pesa za Umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…