Upendo haupimiki, ukipenda penda ukitendwa nenda....anza upya penda tena
Katika mahusiano niliyopita mawili nimegundua kuwa katika mahusiano ya uchumba ukimpenda mtu sana na akajua atakutesa sana, naandika haya kama mwanaume ambaye nilimpenda sana ambae nlikua naye ila matokeo yake upendo wangu akauchezea, usipende kupita kiasi utaumia sana moyo wako bure.
Kupenda kidogo ndo wanapendaje hem tupe somo hilo namna ya kuwapimia
Upendo haupimiki, ukipenda penda ukitendwa nenda....anza upya penda tena
Kwanini upend sana wakati wanawake wengi sana hivKatika mahusiano niliyopita mawili nimegundua kuwa katika mahusiano ya uchumba ukimpenda mtu sana na akajua
atakutesa sana, naandika haya kama mwanaume ambaye nilimpenda sana ambae nlikua naye ila matokeo yake upendo wangu akauchezea, usipende kupita kiasi utaumia sana moyo wako bure.