Bora kuoa yupi kati ya hawa

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Habari..

Moja kwa moja ni yupi mwanamke bora wa kuoa kati ya hawa wanawake wa aina hii ndugu zangu;

1: Mwanamke anae kupenda kwa dhati ila hana hisia na wewe kabisa

2: Mwanamke mwenye hisia na wewe ila hakupendi.

3: Mwanamke anaye jielewa ila hakupendi na hana hisia na wewe na yupo teyari muishi tuu bora liende kama mume na mke.

Wakuu njoeni mmiminike hapa.



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Leta picha zao
 
Ukisema hisia unamaanisha nyege?

Oa mwenye vyote, mapenzi na nyege.

Mwenye mapenzi ila hana nyege, humtii vizuri au hapendi physical appearance yako. Fuatilia ma ex wake walikuwa wanamuonekano wa aina gani, kama ni tofauti sana na wewe ujue anataka tu hifadhi ya ndoa lakini kamwe hutaikausha kiu yake. Kama unaweza kufix appearance na show yako, fanya hivyo na hisia zitakuja.

Mwenye nyege ila hana mapenzi, huyu ni issue rahisi tu kuwa anampenda mtu mwingine (ambaye hana nyege naye au hayupo available kwa sasa) au hajapona majeraha. Fuatilia pia kujua historia yake, naamini ni rahisi zaidi kumfanya akupende.

Hii ndio sababu wanaume wako interested na past ya wanawake ilhali wanawake wako interested na future ya mwanaume.
 
Sawa mkuu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke namba moja na mbili hawapo duniani.
Mwanamke anayekupenda lazima awe na hisia na wewe. Kama Hana hisia na wewe hakupendi na ataonyesha soon.
 
Uzi wa kitoto kbs. Unaongelea impossibles tupu!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…