Bora kujilipua au kugangamala...?

YoungCorporate

JF-Expert Member
Apr 30, 2010
391
113
Mara nyingine m2 unasema hapa ndio kwetu ngoja nikomae lakini kila kukicha mambo yanavyoenda unazidi kupata mawazo labda nikajaribu huko magharibi maana kero, siasa danganyifu na matatizo chungu tele yanaongezeka kwa mtanzania hasa vijana.
Wadau ma-diaspora na wote mliowahi kupiga boksi mnashauri nini kwa kijana graduate aliyesomeshwa na bodi ya mkopo anaepanga ku-give up kazi hapa (mwajiriwa sekta binafsi) nchini na kwenda kuanza moja US. Wote tunafahamu kuwa hakuna sehemu yenye maisha rahic duniani lakini je diaspora hebu tupeni uzoefu....benefits wa DV, Tier 1 na waliojilipua....vp maoni jamani??
 
Nyani Ngabu (president of wabeba maboksi) : Could you please advise accordingly. Your advice in this regard will be highly appreciated.
 
Back
Top Bottom