Tutajie asili ya Kinana ; Bashe na Bi tozo. Au mpaka waiseme Chchiemu vibaya?Ningemsagia ningesema!. Kama jamaa fulani anaitwa Katto, data zake zote tunazo na tumezihifadhi, hatukuzitoa mpaka... leo kwa nini tuzitaje za Bashiru?. Au nikutajie na wenzeke wengi tuu wengine mawaziri, lakini hatuwataji!. The secrets of their orgin is well kept in safe custody!.
P
Sio asili za kila mtu ni siri, watu ambao asili zao sio siri yaani ni open secrets, hao hawana siri za asili zao, siri za asili ni kwa wale ambao asili zao ni siri!.na wewe siri za asili yako hazitotolewa pia
Hao wawili asili zao sio siri, zinafahamika na wamekamilisha taratibu zote za Utanzania.Tutajie asili ya Kinana na Bashe. Au mpaka waiseme Chchiemu vibaya?
Duh...!. Naomba usije kuniponza!.Wewe Pascal haunjui Bashiru, Bashiru kwao ni Kanazi kijiji Kansenene,wala sio Ibwera,
Na baadaye hayo aliyoyasema Bashiru nani alitakiwa ayaseme ? Au hakukuwa na sababu yeyoye mambo yale kusemwa hadharani ?Yes mimi ni mwanaccm damu. Lakini nikimsikiliza Dkt. Bashiru akikosoa wanaomsifia mama napata kichefu chefu.
Huyu ndo katibu mkuu wa kwanza wa CCM kufanya biashara ya kununua wapinzani kwa pesa za walipa Kodi wa nchi hii. Tulikuwa tunaumia saaana na kuona ubakwaji wa demokrasia lkn tuliamua kukaa kimya wapinzani walikuwa wanalia hadharani nasi tulikuwa tunalia kimya kimya
Tulikuwa tunakumbuka chaguzi ndogo za ubunge wa Tarime baada ya kufariki Chacha Wangwe, uchaguzi mgodo wa Arumeru kwa Nasari kufuatia kifo cha Jeremiah Summari na ule wa Igunga kwa Rostam Azizi kujiuzulu ubunge jinsi CCM ilivokuwa inashindana kwa hoja na CHADEMA ( japo hazikuwa sahihi 100%) lakini kulikuwa na demokrasia
Sasa njoo uone chaguzi ndogo za Bashiru za mbunge asubuhi anatoka CHADEMA, jioni anagombea CCM na anakuwa mbunge. Dkt. Bashiru kaa kimya mzee wetu
Huyu ndie alienukuliwa akitamka hadhari kuwa CCM unatumia dola kubaki madarakani leo atatuambia nini
Inawezeka ana hoja ya msingi lakini inatia kinyaa kahaba kukuhubiria uache uzinzi ni kweli uzinzi ni dhambi lakini kahaba anapata wapi moral authority ya kuwakemea wengine
Mimi nadhani angebaki na ubunge wake amalizie muda wake akafundishe chuo kikuu basi.
Nadhani kimataifa Uraia wa mtoto unaanzia Nchi aliyozaliwa !! Ila kwa Tanzania au kwa Tanganyika ni tofauti na mataifa mengine! Sijui ni kwanini !!Hao wawili asili zao sio siri, zinafahamika na wamekamilisha taratibu zote za Utanzania.
P
Sasa njoo uone chaguzi ndogo za Bashiru za mbunge asubuhi anatoka CHADEMA, jioni anagombea CCM na anakuwa mbunge. Dkt. Bashiru kaa kimya mzee wetuYes mimi ni mwanaccm damu. Lakini nikimsikiliza Dkt. Bashiru akikosoa wanaomsifia mama napata kichefu chefu.
Huyu ndo katibu mkuu wa kwanza wa CCM kufanya biashara ya kununua wapinzani kwa pesa za walipa Kodi wa nchi hii. Tulikuwa tunaumia saaana na kuona ubakwaji wa demokrasia lkn tuliamua kukaa kimya wapinzani walikuwa wanalia hadharani nasi tulikuwa tunalia kimya kimya
Tulikuwa tunakumbuka chaguzi ndogo za ubunge wa Tarime baada ya kufariki Chacha Wangwe, uchaguzi mgodo wa Arumeru kwa Nasari kufuatia kifo cha Jeremiah Summari na ule wa Igunga kwa Rostam Azizi kujiuzulu ubunge jinsi CCM ilivokuwa inashindana kwa hoja na CHADEMA ( japo hazikuwa sahihi 100%) lakini kulikuwa na demokrasia
Sasa njoo uone chaguzi ndogo za Bashiru za mbunge asubuhi anatoka CHADEMA, jioni anagombea CCM na anakuwa mbunge. Dkt. Bashiru kaa kimya mzee wetu
Huyu ndie alienukuliwa akitamka hadhari kuwa CCM unatumia dola kubaki madarakani leo atatuambia nini
Inawezeka ana hoja ya msingi lakini inatia kinyaa kahaba kukuhubiria uache uzinzi ni kweli uzinzi ni dhambi lakini kahaba anapata wapi moral authority ya kuwakemea wengine
Mimi nadhani angebaki na ubunge wake amalizie muda wake akafundishe chuo kikuu basi.
So-hasa za Dunia ya Tatu !! Hatari sanaSasa njoo uone chaguzi ndogo za Bashiru za mbunge asubuhi anatoka CHADEMA, jioni anagombea CCM na anakuwa mbunge. Dkt. Bashiru kaa kimya mzee wetu
Kaka Pascal ulihusika na lile sekeseke lililompata Ulimwengu miaka ile ya urais wa Mkapa?. Umenitisha sana mzee wa kitengo pale Saint Peters.Ningemsagia ningesema!. Kama jamaa fulani anaitwa Katto, data zake zote tunazo na tumezihifadhi, hatukuzitoa mpaka... leo kwa nini tuzitaje za Bashiru?. Au nikutajie na wenzeke wengi tuu wengine mawaziri, lakini hatuwataji!. The secrets of their orgin is well kept in safe custody!.
P
Uraia una formular tatu tuu dunia nzimaNadhani kimataifa Uraia wa mtoto unaanzia Nchi aliyozaliwa !! Ila kwa Tanzania au kwa Tanganyika ni tofauti na mataifa mengine! Sijui ni kwanini !!
Umeendika ujinga mtupu unanhnualiwa wee ni kichaaa au haujjtambuaYes mimi ni mwanaccm damu. Lakini nikimsikiliza Dkt. Bashiru akikosoa wanaomsifia mama napata kichefu chefu.
Huyu ndo katibu mkuu wa kwanza wa CCM kufanya biashara ya kununua wapinzani kwa pesa za walipa Kodi wa nchi hii. Tulikuwa tunaumia saaana na kuona ubakwaji wa demokrasia lkn tuliamua kukaa kimya wapinzani walikuwa wanalia hadharani nasi tulikuwa tunalia kimya kimya
Tulikuwa tunakumbuka chaguzi ndogo za ubunge wa Tarime baada ya kufariki Chacha Wangwe, uchaguzi mgodo wa Arumeru kwa Nasari kufuatia kifo cha Jeremiah Summari na ule wa Igunga kwa Rostam Azizi kujiuzulu ubunge jinsi CCM ilivokuwa inashindana kwa hoja na CHADEMA ( japo hazikuwa sahihi 100%) lakini kulikuwa na demokrasia
Sasa njoo uone chaguzi ndogo za Bashiru za mbunge asubuhi anatoka CHADEMA, jioni anagombea CCM na anakuwa mbunge. Dkt. Bashiru kaa kimya mzee wetu
Huyu ndie alienukuliwa akitamka hadhari kuwa CCM unatumia dola kubaki madarakani leo atatuambia nini
Inawezeka ana hoja ya msingi lakini inatia kinyaa kahaba kukuhubiria uache uzinzi ni kweli uzinzi ni dhambi lakini kahaba anapata wapi moral authority ya kuwakemea wengine
Mimi nadhani angebaki na ubunge wake amalizie muda wake akafundishe chuo kikuu basi.
Upuuzi ulioongea hapa haufananii kabisa na wewe.... Au kuna mtu kaandika Kwa niaba yako?Naunga mkono hoja, ila akimaliza ubunge wake, kurudi chuo itakuwa too late, atakuwa by passed na age, hivyo nashauri arudi tu kijijini kwake pale Ibwera akagombee ubunge, sisi tunao mjua, hatutotoa siri ya asili yake, wala ya wazazi wake, wala hatutasema walitokea wapi na walihamia lini hapo Ibwera, kwasababu wenzake wengi wapo, tunawajua na hatuwataja hivyo hata yeye asiwe na wasiwasi, hatutamja, huyu ni mwenzetu, siri za asili yake ziko salama, hatuta zitoa!.
P
Na wewe za kwako tuziweke wazi?Ningemsagia ningesema!. Kama jamaa fulani anaitwa Katto, data zake zote tunazo na tumezihifadhi, hatukuzitoa mpaka... leo kwa nini tuzitaje za Bashiru?. Au nikutajie na wenzeke wengi tuu wengine mawaziri, lakini hatuwataji!. The secrets of their orgin is well kept in safe custody!.
P
Mkuu Phillipo Bukililo, mtu wa kitengo, angeweza kuleta bandiko kama hili TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!Kaka Pascal Umenitisha sana mzee wa kitengo pale Saint Peters.
Kama unazo, weka wazi!.Na wewe za kwako tuziweke wazi?
Blackmail in actions !! Ukiwa sio mwenzetu kazi unayo !! Alisemaga Rais Bush baada ya ile September eleven “If you’re not with us you’re with them. !!Tutajie asili ya Kinana ; Bashe na Bi tozo. Au mpaka waiseme Chchiemu vibaya?
Paragraph yako ya pili ndipo hapo penye abracadabra ya watu kuonewa na kuwa blackmailed kama kwa namna moja au nyingine utaonekana wewe hukubaliani na vimbwanga vyetu hata kama ni vya Ulozi 😅 !! Na ndipo jibu la kwanini Tanzania wakubwa hawataki kusikia Dual citizenship linapopatikana ! Very sad 😔Uraia una formular tatu tuu dunia nzima
1. Uraia wa kuzaliwa - popote pale ulipozaliwa, ndio unakuwa na uraia wa hapo ulipozaliwa as birth right. Uraia huu hauwezi kuondolewa na yeyote.
2. Uraia wa pili ni uraia wa wazazi wako - mtoto anapozaliwa anakuwa na uraia wa mahali alipozaliwa na uraia wa wazazi wake. Mfano wewe ni Mtanzania unaishi Marekani, mtoto wako anapozaliwa anakuwa na uraia wa Marekani na Tanzania, kwa nchi zenye uraia pacha, anaendelea nao, lakini kwa Tanzania yenye uraia mmoja, mtoto huyo akitimiza umri wa miaka 18, itambidi achague moja, ama kuendelea uraia wake wa Marekani na kuukana Utanzania, ama kuukana Umarekani na kuchagua Utanzania.
3. Uraia wa kuomba na kuandikishwa.
P
Bashiru anawatia wazimu!!??Yes mimi ni mwanaccm damu. Lakini nikimsikiliza Dkt. Bashiru akikosoa wanaomsifia mama napata kichefu chefu.
Huyu ndo katibu mkuu wa kwanza wa CCM kufanya biashara ya kununua wapinzani kwa pesa za walipa Kodi wa nchi hii. Tulikuwa tunaumia saaana na kuona ubakwaji wa demokrasia lkn tuliamua kukaa kimya wapinzani walikuwa wanalia hadharani nasi tulikuwa tunalia kimya kimya
Tulikuwa tunakumbuka chaguzi ndogo za ubunge wa Tarime baada ya kufariki Chacha Wangwe, uchaguzi mgodo wa Arumeru kwa Nasari kufuatia kifo cha Jeremiah Summari na ule wa Igunga kwa Rostam Azizi kujiuzulu ubunge jinsi CCM ilivokuwa inashindana kwa hoja na CHADEMA ( japo hazikuwa sahihi 100%) lakini kulikuwa na demokrasia
Sasa njoo uone chaguzi ndogo za Bashiru za mbunge asubuhi anatoka CHADEMA, jioni anagombea CCM na anakuwa mbunge. Dkt. Bashiru kaa kimya mzee wetu
Huyu ndie alienukuliwa akitamka hadhari kuwa CCM unatumia dola kubaki madarakani leo atatuambia nini
Inawezeka ana hoja ya msingi lakini inatia kinyaa kahaba kukuhubiria uache uzinzi ni kweli uzinzi ni dhambi lakini kahaba anapata wapi moral authority ya kuwakemea wengine
Mimi nadhani angebaki na ubunge wake amalizie muda wake akafundishe chuo kikuu basi.
Mimi namshauri Bashiru ile PDF ya waloikwiba mali za Chama awe anaachia kila wiki page moja.Wewe Pascal haunjui Bashiru, Bashiru kwao ni Kanazi kijiji Kansenene,wala sio Ibwera,hayo mambo ya asili kila mtu anaasili yake,hata Rais wa Sasahivi asili yake ni Omani,Sisi tunachojua Bashiru anachukiwa kwa ukweli wake,na akina Kinana na Nape wanajua Bashiru anamafaili yao ndio maana wapigana waweza kumtupa nje.Mungu atampigania tu,ataishinda hii vita.
Hivi wangoni asili yao ni wapi?Sawa tuna kubali kwamba huyu jamaa ni mchafu na pengine hasafishiki, lakini hoja zake alizotoa zina mashiko na ajibiwe kwa hoja vile vile na sio kushambuliwa kwa kejeli.
Matendo yake yasi tuzibe macho na masikio kujifanya hatuoni Wala kusikia mapungufu mengi yaliyopo na kusifia Kila kitu,
Na nimeshangaa kwa mtu kama wewe kuanza kumtolea vitisho vya kujua asili yake, ukija kwenye suala la asili ya watu utamaliza wote, makabila mengi Tanzania yana asili ya nchi nyingine yalipo tokea, hivyo vitisho havi saidii kitu jibuni hoja