Nimpongeze mjenzi mkuu wa Chadema mpaka kufikia hapa ilipofikia kutamaniwa na mabaradhuli yasiyo na utu wala shukurani, hakika bw. Mbowe ni mfano wa kuigwa, To toils for 25 year, in thrething chadema, ni kazi ya jasho na damu ni kazi ngumu sana, na ya kizalendo sana, ngoja tuone Hawa wadandiaji kwa mbele kama watakimudu!