Boot mgr is compressed. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boot mgr is compressed.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Monasha, May 3, 2012.

 1. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Wakuu sina shaka wote wazima.
  Ni juzi tu nimetoka kununua min laptot aina ya samsung hapa mlimani city. Nimeitumia kwa siku moja na kesho yake nilipoiwasha inanipa msg, boot mgr is compressed. Press ctrl+del+alt to restart it. Nikifanya hivyo hakuna lolote. Ingawa nimewarudishia wakarekebishe, naombeni mwenye kujua cha kufanya ili niongeze ujuzi.
  Thanks all.
   
 2. badbrain

  badbrain Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka hapo wewe ulijaribu kucompress drive c: iliupate free space ndo maana computer ikakuandikia hivyo sasa hapo fanya repairing ya os au format
   
Loading...