J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Aug 18, 2021 #1 Naomba tu kuelimishwa maana halisi ya " booster vaccine" kwa wale waliochanjwa Astra zeneca Ahsante kwa ushirikiano utakaoutoa. Mungu ni mwema wakati wote!
Naomba tu kuelimishwa maana halisi ya " booster vaccine" kwa wale waliochanjwa Astra zeneca Ahsante kwa ushirikiano utakaoutoa. Mungu ni mwema wakati wote!
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,344 Reaction score 12,472 Aug 18, 2021 #2 Kwani na wewe umechanjwa? Nchi hii wanaojua chanjo ni Gwajima na shemejii yake kawaulize
N ngebe JF-Expert Member Joined Jun 8, 2020 Posts 1,786 Reaction score 5,121 Aug 18, 2021 #3 mnabishana na malaya Rashidi, mzinzi mchezaji wa porn na bado kuna misukule inamuamini 100%
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,497 Reaction score 38,336 Aug 18, 2021 #4 johnthebaptist said: Naomba tu kuelimishwa maana halisi ya " booster vaccine" kwa wale waliochanjwa Astra zeneca Ahsante kwa ushirikiano utakaoutoa. Mungu ni mwema wakati wote! Click to expand... Nadhani booster vaccine ni chanjo ambayo mtu uchanjwa baada ya kupata chanjo ya mwanzo.Hii uchajwa baada ya kirusi kubadilika badilika ili kukabiliana na aina mpya ya kirusi eg Delta ambacho mwanzo hakikuwepo.
johnthebaptist said: Naomba tu kuelimishwa maana halisi ya " booster vaccine" kwa wale waliochanjwa Astra zeneca Ahsante kwa ushirikiano utakaoutoa. Mungu ni mwema wakati wote! Click to expand... Nadhani booster vaccine ni chanjo ambayo mtu uchanjwa baada ya kupata chanjo ya mwanzo.Hii uchajwa baada ya kirusi kubadilika badilika ili kukabiliana na aina mpya ya kirusi eg Delta ambacho mwanzo hakikuwepo.
Biggs JF-Expert Member Joined May 3, 2014 Posts 2,125 Reaction score 2,410 Aug 18, 2021 #5 johnthebaptist said: Naomba tu kuelimishwa maana halisi ya " booster vaccine" kwa wale waliochanjwa Astra zeneca Ahsante kwa ushirikiano utakaoutoa. Mungu ni mwema wakati wote! Click to expand... https://indianexpress.com/article/explained/covid-19-vaccine-booster-shots-explained-7397060/
johnthebaptist said: Naomba tu kuelimishwa maana halisi ya " booster vaccine" kwa wale waliochanjwa Astra zeneca Ahsante kwa ushirikiano utakaoutoa. Mungu ni mwema wakati wote! Click to expand... https://indianexpress.com/article/explained/covid-19-vaccine-booster-shots-explained-7397060/
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Aug 18, 2021 Thread starter #6 Biggs said: https://indianexpress.com/article/explained/covid-19-vaccine-booster-shots-explained-7397060/ Click to expand... Ahsante mkuu!
Biggs said: https://indianexpress.com/article/explained/covid-19-vaccine-booster-shots-explained-7397060/ Click to expand... Ahsante mkuu!