b wence
Senior Member
- Dec 30, 2016
- 154
- 108
Ninaishi maeneo yenye tatizo na network,ving'amuzi vingi nilivyotumia(vya antena)vinashika kwa kubahatisha sn.je naweza kutumia zile booster za zamani ili kuongeza mawimbi ya network ya kinga'amuzi changu? Je itafanya kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app