60,000 kwa mwezi kwa kula???..chakula gani hicho??..it means ulikuwa ukula 2000 kwa sikukwa udom ukiamua kujibana kwa kipindi nilichosoma unatumia tu 60,000 kwa mwezi kwenye kula, hio hela unampa mama ntilie, unakula tu kwake. Tena chakula kizuri kuliko cafeteria, unakula ugali na mboga saba.
Boom kipindi hiko lilikuwa 7500 kwa siku au 225,000 kwa mwezi au 900,000 kwa semester, plus 200,000 ya stationary inakuja 1.1m.
Fanya mahesabu sasa unajibana sana
-240,000 chakula
-60,000 malazi
hapo una laki 8 ipo mfukoni, sijui bei za mama ntilie/wajasi kwa sasa ila hazitatofautiana sana.
ugali na mboga saba60,000 kwa mwezi kwa kula???..chakula gani hicho??..it means ulikuwa ukula 2000 kwa siku