boom club

sky_haf

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Posts
220
Reaction score
23
jamani msaada naomba kuuliza,
Mimi nipo dunia ya mwisho sina chochote nnachosikia, ila nimesikia kama kuna sim card za airtel znajulikana kama Boom club, ambayo unaweza kuzungumza na mtu kwa 500 muda wa wiki nzima.
Hizi sim card znapatikana Tz nzima??
Msaada tafadhali
 
Ni kweli zipo hata mimi ninayo,ila wasema ni kwa ajili ya wanafunzi esp.wanachuo,zinakuwa special kwa ajili hiyo. Kwa maelezo ya uhakika jaribu kwenda Airtel shop iliyo karibu nawe.
 
boom club ni special line kwa wanafunz wa vyuo vikuu na unapga cmu kwa wk nzima bure kwa m2 uliyemuunganisha. Km hauko chuo ni PM nikusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…