Tatizo hela halafu vitabu vingi vinauzwa bei...hamna mahali naweza kukipata bure yakhe? Si unajua tena hali zetu(baadhi) tete? Tupo tgs ....toka miaka hiyo na ukichanganya na extended family za kiafrika ndio balaaaa...ukitaka uonekane zuzu uende na kitabu nyumbani jioni..ila ukitaka uonekane bingwa uende na nyama ya ng'ombe, kuku, samaki, mpunga, sembe, soseji n.k