Kaka,
morning to you. hili jambo sikufanya makusudi ila tu ni kwamba wakati napost hii issue Jukwaa la Elimu nilishindwa kabisa kulikamata katika list ya majukwaa...
na kwa kuwa nilikuwa nahitaji huu msaada sikuwa na jinsi ikabidi niibandike habari hii hapa ilipo. Ni kweli nimekosea ngoja nirudie tena ili nipate kusaidiwa.
Ahsante Sana.