Book Download - Operations Management

Status
Not open for further replies.

Mzozo wa Mizozo

JF-Expert Member
May 26, 2008
426
12
Habari za Mchana wajameni...

Naomba msaada wenu kwa mtu ambaye anaweza nipatia link ambayo ntaweza download kitabu hiki. Ni masuala ya kufa na kupona.

Nigel Slack - Operations Management [Fifth Edition]

Invisible Please Assist!

Salaam.
 
Mzozo w Mzozo unasoma kozi gani? FM ?

Hiki kitabu ni pg 700. Hakiko free ni cha kulipia kama unataka kudownload .
Angalia www.pearsoned.uk/slack.

Kama uko Dar tafuta boostore kipo. kwa heri.
 
Mzozo wa Mizozo,

Nadhani umesahau hili ombi ulitakiwa kuliweka wapi. Wewe ni mwanachama na naamini unafahamu fika ni wapi maombi ya namna hii huenda na suluhu yake hupatikanaje.

Nasikitika msaada huo hata kama naweza kukupa siuweki eneo hili.
 
Kaka,

morning to you. hili jambo sikufanya makusudi ila tu ni kwamba wakati napost hii issue Jukwaa la Elimu nilishindwa kabisa kulikamata katika list ya majukwaa...

na kwa kuwa nilikuwa nahitaji huu msaada sikuwa na jinsi ikabidi niibandike habari hii hapa ilipo. Ni kweli nimekosea ngoja nirudie tena ili nipate kusaidiwa.

Ahsante Sana.
 
Nenda kwenye link hii uliza suala lako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom