jamaa alikua amekaa siti ya mwisho dirishani huku amefungua kioo kutipisha upepo. gari liko kwenye foleni na ilikua inatembea taratibu sana. kwa kua mda wa kazi ulikua unakatika akaona ni bora amjulishe boss wake kama yuko njiani ila kuna foleni sana. kamaliza kuandika anatokea kibaka anapora simu....
jamaa kwa sauti kubwa: bonyeza send, bonyeza send, bonyeza send