M Mbilimbili Senior Member Joined Mar 17, 2012 Posts 172 Reaction score 19 May 28, 2012 #1 Za asubuhi wadau wa hapa ndani. Kwa mnaotumia line za voda kama mimi, naomba mnijuze bonus wanazotoa kwenye M_pesa na ile waliyotoa weekend inatumika saa ngapi? Sababu niko na bonus zote mbili lakini nikipiga sim naambiwa niongeze salio.
Za asubuhi wadau wa hapa ndani. Kwa mnaotumia line za voda kama mimi, naomba mnijuze bonus wanazotoa kwenye M_pesa na ile waliyotoa weekend inatumika saa ngapi? Sababu niko na bonus zote mbili lakini nikipiga sim naambiwa niongeze salio.
Zuia Sayayi JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 841 Reaction score 140 May 28, 2012 #2 Bonus hizo ni kwenda kwa vodacom mwenzio tu! Na co mitandao mingine
nurbert JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,887 Reaction score 428 May 28, 2012 #3 piga *102*02#
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 May 28, 2012 #4 nurbert said: piga *102*02# Click to expand... zinatumika muda gani