Bongomovies
Member
- Oct 24, 2012
- 5
- 2
asante kwa ushauri mkuu, tutaufanyia kaziOk senku yuu ila kuweni makini na kina wema/ezekiel and the like wanaaibisha bongomovies wapigeni ban hata ya mwaka au mnawaogopa?
kweli kabisa hii tasnia inaweza kutoa ajira kwa vijana wengi Tanzaniahaina meno hii bongo movie yatakiwa iwe kali dhidi ya wababaishaji kina wema na antiiiiiiii nani cjui
kweli kabisa hii tasnia inaweza kutoa ajira kwa vijana wengi Tanzania
kweli mkuu maneno yako ni ya ukweli mtupu, na nakuhaidi tutajitahidi kuhakikisha manjiridhisha na umakini wetu kwenye hii tasniakama mkiwa serious, maana nyie mnataka jamii tuwasaport lakini at the same tym nyie mwatuangusha na mapicha pamoja na matendo yenu machafu ambayo yanaidhalilisha jamii yetu yote. ifike mahala tuone kwanza nyie mko serious then siye wadau ndo tuwape hiyo support mnayoitaka.
bila shaka mkuu, ni muda ata wa kuanza kufikiria kuziweka historia zetu kwenye movie kwa ajili ata ya uelewa mrahisi wa watoto wetu, asante mkuKila la kheri BONGOMOVIES! Tunaomba mfikirie kutuandalie filamu zinazoongelea matukio halisi mbalimbali yanayoikumba nchi yetu!Tunaelekea kuchoshwa na filamu zenu za mapenzi tu kila kukicha!