Elections 2010 BongoFlavor Stars na CCM AIBUUUUUUUUU!!

Nilipata nafasi ya kuongea na mtu wa karibu wa Sugu ambaye alikuwa mstari wa mbele kwenye kampeni.
Aliniambuia kwa masikitiko sana kuwa dakika za mwisho TMK wa Fela walikataa kata kata kumpa suport Sugu eti walikuwa bize mara kampeni zilivyoanza wakaonekana kwenye majukwaa ya CCM.
 
Ukombozi wa fikra ndio wa kwanza,waweza pewa studio ya kurecord,lakini kama uchumi ni mbovu,watu ni corrupt huwezi kufanya chochot kyenye mazgra haya,kazi zao zitachakachuliwa na wahindi.
 
Wenzetu wale walikuwa wasanii sasa kama waliamua kuwafanyia CCM usanii sana wote wamekuta na raia nao ni wasanii kwahiyo ngoma ni draw wasanii bongoflavor,CCM na Raia wote wameonyeshana usanii kwenye juma la sanaaaaa.

Sasa hapa wananchi ndio wamewaonyesha CCM na Bongoflavo kuwa ndio wasanii zaidi yao.

Hizi njaaa jamani
NB Ni mwanamziki mmoja tu aliye kataaa kabisa kusikia nyimbo zake kupigwa kwenye Campaign na wimbo ulikuwa ule wa Mr.President huyo mwanamziki ndie mjanja sasa kuliko wengine wa Bongoflavor
 
Usiwalaumu hao CCM Bongo Flavaz. We chunguza among them.........Utagundua asilimia kubwa hawana yafuatayo...............

1. Shule...(Jamaa wengi hawana elimu)
2. Exposure. ( Kutembea sehemu mbalimbali ni njia mojawapo ya Kujifunza....) sasa Kikwete akiwapeleka kintiku kule wanaonekana wajanja....
3. Hawana Mission wala Vision kwenye mziki wao what they care ni umaarufu wa a month or two....
4. ..........................................................
5. ..........................................................
 
Back
Top Bottom