Election 2010 BongoFlavor Stars na CCM AIBUUUUUUUUU!!

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2010
Messages
3,103
Points
1,195

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2010
3,103 1,195
Wengi wa wasanii wa Bongo flavour Mnachekesha sana mlipokuwa mkinunuliwa kutumbuiza na kipigia debe CCM wakati mwenzenu Mr II alipokataa kutumiwa na CCM na kwenda kujikita upinzani. Haya naona eti mmeahidiwa na JK mtambo na studio mpya ya kisasa ya kurekodia sanaa zenu kama vile Sony Records!!! ha ha ha ha!
Hamtopata hata CD/DVD burner shwaini nyie!!
Badala basi hata mpiganie kudhibitiwa kwa copy rights za kazi zenu mnachekelea kutumbuiza kwenye kampeni za CCM na kuahidiwa ahadi za kijinga. Hamna nyimbo wala gitaaa mmeishiwa na njaa zenu zitawapeleka pabaya.
Njaa zenu zitawaua, angalieni mwenzenu kapeta sasa.
 
Bantugbro

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2009
Messages
3,662
Points
2,000

Bantugbro

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2009
3,662 2,000
Ilikuwa njaaa jamani tuwaonee huruma
Hakuna kuwaonea huruma wamezoea vya kupewa ndio maana wanashindwa kupambana na hao WACHAKACHUAJI wakazi zao. Tena usishangae kusikia hata hiyo studio yenyewe Mkwere alifadhiliwa na haohao WACHAKACHUAJI waki-Dosi.
 
Njaare

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Messages
1,082
Points
1,195

Njaare

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2010
1,082 1,195
Wengi wa wasanii wa Bongo flavour Mnachekesha sana mlipokuwa mkinunuliwa kutumbuiza na kipigia debe CCM wakati mwenzenu Mr II alipokataa kutumiwa na CCM na kwenda kujikita upinzani. Haya naona eti mmeahidiwa na JK mtambo na studio mpya ya kisasa ya kurekodia sanaa zenu kama vile Sony Records!!! ha ha ha ha!
Hamtopata hata CD/DVD burner shwaini nyie!!
Badala basi hata mpiganie kudhibitiwa kwa copy rights za kazi zenu mnachekelea kutumbuiza kwenye kampeni za CCM na kuahidiwa ahadi za kijinga. Hamna nyimbo wala gitaaa mmeishiwa na njaa zenu zitawapeleka pabaya.
Njaa zenu zitawaua, angalieni mwenzenu kapeta sasa.

Ipo haja kususia kununua kazi zao. Pia kwa wanajamii wengi tunapata kinywaji. Popote tutakapokuwa tunapata kinywaji wakiweka muziki wao tuondoke tuhamie bar nyingine.

Mi mke wangu anapenda nyimbo za injili ila za Flora mbasha nimezitoa nyumbani.
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2006
Messages
9,419
Points
2,000

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2006
9,419 2,000
Wengi wa wasanii wa Bongo flavour Mnachekesha sana mlipokuwa mkinunuliwa kutumbuiza na kipigia debe CCM wakati mwenzenu Mr II alipokataa kutumiwa na CCM na kwenda kujikita upinzani. Haya naona eti mmeahidiwa na JK mtambo na studio mpya ya kisasa ya kurekodia sanaa zenu kama vile Sony Records!!! ha ha ha ha!
Hamtopata hata CD/DVD burner shwaini nyie!!
Badala basi hata mpiganie kudhibitiwa kwa copy rights za kazi zenu mnachekelea kutumbuiza kwenye kampeni za CCM na kuahidiwa ahadi za kijinga. Hamna nyimbo wala gitaaa mmeishiwa na njaa zenu zitawapeleka pabaya.
Njaa zenu zitawaua, angalieni mwenzenu kapeta sasa.

Hii njaa mbaya sana ...hii RUGE na KUSAGA wamedaka milioni 500 kwenye tenda ya kuwatembeza Wasanii wa ubongo wa fleva nchi nzima ..mlipaji akiwa Miraj.......sijui wasanii hawa uchwara walikuwa wakiambulia ngapi ngapi kwa shooo....lakini kiukweli uchaguzi umeisha na njaa itaendlea kuuma ...recording artists nao wanajiita wanamuziki,,...hawajui kupiga hata chombo kimoja cha muziki...

Angalieni wasani wenye akili tena wengine ni CCM lakini hawakukubali kupanda majukwani[ie JD,BANANA etc kwani kibiashara unajiuwa ....zaidi ya kujijenga..kwani mjuwe wapenda starehe hawataki kuchanganya na siasa...ndio maana CCM wana bendi ,kwaya,na taarab..lakini hazivumi kibiashara zaidi ni kwa ajili yao ..so "wanamuziki" mliomlamba JK mIguu jiandalieni kufulia kwani mwaka 2015 watachukuliwa wengine ...nyie mtakuwa mmekwisha...na Bend ya ToT itaendelea kuwepo kwani wao ndoo kazi yao ...na wenzenu wanalipwa mishahara hata kama hawapigi!!

Tuwataje hapa ili tususie kazi zao ...wamwambie Jk Awalipe na mishahara bila kufanya kazi kama TOT kama atakubali!!

MARLOW
ZE KOMEDI
FLORA MBASHA[kwaya biashara]
diamond na nyimbo zake mbili
etc ...the list is long
 
Obama08

Senior Member
Joined
Sep 17, 2010
Messages
181
Points
0

Obama08

Senior Member
Joined Sep 17, 2010
181 0
wale wasanii wajinga, walio na njaaaaaaaaaaaa saaaaaaaana ndio walifuata CCM, yaani wanashindwa hata kupatiwa hati miliki ya kazi zao na serikali ya CCM, bado wana bweka bweka na CCM, ujinga is a biggest ever disease
 
Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
5,918
Points
1,225

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
5,918 1,225
Respect kwa sugu ile mbaya.nakumbuka miaka tisini plus alianza mapambano mfano mashairi kama "niko mikononi mwa polisi maisha yangu bado ni mikosi"unakumbuka alivyoimba kwa ajili ya mwanafunzi aliyekufa katika mikono ya policia.SUGU mpambanaji banaaaa!tuwasusie hivi visanii vitoto vya juzi.unajua wametumika kudanganya wa2 vijijini.ku.@=.&%.???!
 
Thesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2010
Messages
1,000
Points
1,195

Thesi

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2010
1,000 1,195
Hiyo sawa kabisa. Walinitia kichefuchefu hasa Flora Mbasha. Unamwimbia Mungu wa Mbinguni halafu eti unaenda kumwimbia mwizi jukwaani. Hawa wanaojiita wanamuziki wa injili hamna lolote waganga njaa tu.
 
MADAM T

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
4,357
Points
2,000

MADAM T

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
4,357 2,000
Hakuna kuwaonea huruma wamezoea vya kupewa ndio maana wanashindwa kupambana na hao WACHAKACHUAJI wakazi zao. Tena usishangae kusikia hata hiyo studio yenyewe Mkwere alifadhiliwa na haohao WACHAKACHUAJI waki-Dosi.
Nakuunga mkono kabisa tuwaonee huruma kwa lipi? mbona wenyewe hawakutuonea huruma mamilioni ya Watanzania, kama ni njaa wengi tunanjaa ndio maana tunatafuta suluhisho la kudumu la hizi njaa, sasa wenyewe wanajifanya wajanja, nimewachukia kabisa huyo Malow na mwenzie Diamond
 
mbezibeach

Senior Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
119
Points
0

mbezibeach

Senior Member
Joined Oct 4, 2010
119 0
Nasikia hivi vijamaa vya bongo flavour vingi vinafanyiwa ule mchezo usiofaa kwa tamaa zao za kis....., ..wameibuka watu wengi sana hapa jijini wanaowapumulia kisogoni hawa madogo.... Wengine ukiwapa lift kwenye gari kama lina ac vinaanza kujilengesha...nilifikiri labda yule wa ar papaaa queen sijui na yule wa moro ambaye sijui kidogo ndio chake pekee ndio wanaofanyia tu hawa madogo....kwa sample yao ndogo ninayoifahamu mi sishanga kuona walivyokuwa wakibana masauti jukwaani..jamani chondechonde muwazuie watoto zenu..wadogo zenu kutovaa ile milegezeo wanayovaa hawa madogo most of them wanafanyiwa kweli...mi ndo maana nyimbo za diamond siwezi kusikiliza hata kidogo.

wengi wa wasanii wa bongo flavour mnachekesha sana mlipokuwa mkinunuliwa kutumbuiza na kipigia debe ccm wakati mwenzenu mr ii alipokataa kutumiwa na ccm na kwenda kujikita upinzani. Haya naona eti mmeahidiwa na jk mtambo na studio mpya ya kisasa ya kurekodia sanaa zenu kama vile sony records!!! Ha ha ha ha!
Hamtopata hata cd/dvd burner shwaini nyie!!
Badala basi hata mpiganie kudhibitiwa kwa copy rights za kazi zenu mnachekelea kutumbuiza kwenye kampeni za ccm na kuahidiwa ahadi za kijinga. Hamna nyimbo wala gitaaa mmeishiwa na njaa zenu zitawapeleka pabaya.
Njaa zenu zitawaua, angalieni mwenzenu kapeta sasa.
 
Optimistic Soul

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
205
Points
170

Optimistic Soul

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
205 170
Jamani hawa madogo kwanza hawana akili kabisa, hawaoni hata hiyo pesa wanayopata inatokana na kukandamizwa na CCM? hawajui kwamba tunalipa kodi kubwa sana kwa hawa wachakachuaji? tatizo ni kwamba msanii wa bongo haelewi jinsi anavyolipa kodi,hajui kila anachonunua 18% ni kodi,wao wanachekelea tu vipesa vidogo vidogo wanasahau maslahi ya muda mrefu (nakubali kua ni njaa) lakini njaa huwa inafungua watu akili, mbona wao hawafunguki? anyway wana akili mgando kama mtindi, tusiwasamehe kabisa,ukizingatia hata kazi zao hazidumu,ukisikiliza mara 3 hamu imeisha unatupa. Hawa jamaa tukisema wanaiga wamarekani tunakosea, angalia Hip hop ilianza kwa kupigania haki za weusi, kutokomeza ukandamizaji na ubaguzi wa rangi, kupambana na siasa isiyo na manufaa kwa watu weusi, I'M HUNGRY WITH THESE DUDES.
 
Al Zagawi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
2,096
Points
2,000

Al Zagawi

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
2,096 2,000
NIpeni majina ya waliotumiwa ili niwatoe ktk shopping list zangu pls
1. mwana FA
2. Diamond(aligeuza mbagala hit akiisifia ccm)
3. marlaw(huyu alikuwa kinara kutokea dodoma siku JK na GB wanapitishwa kugombea)
4. Chege chibindu mtoto wa mama Said kutoka TMK wanaume family(nadhani alikuwa na Mh Temba)
5. underground wengi tu...
 
majuva

Senior Member
Joined
Apr 30, 2009
Messages
144
Points
0

majuva

Senior Member
Joined Apr 30, 2009
144 0
Hivi demokrasia ipo wapi kama mlitaka kila mmoja aipigie debe chadema, waacheni ule ulikuwa ni uhuru wao, wanaamuzi yao na haikuwa lazima wamuunge sugu, walikuwa kazini na walipata mkate wao wa siku ile, suala la wamemchagua nani hiyo ni siri yao! huna haja ya kumchukia mtu wa kuhudhuria kampeni ya fulani kwani alichoamua katika karatasi ni siri yake, hata hapa hapa wapo wapiga debe lakini nao huenda hawakuwachagua wanaowapigia debe,
kwani hata kuwa mwanachama wa CCM au CHADEMA haina maana umekipigia kura chama hicho inawezekana aliyegombea si muadilifu! wat sasa hivi hawaangalii chama wala ushabiki wanaangalia ni nani tumchague,
 
Forum statistics

Threads 1,392,158
Members 528,552
Posts 34,100,250
Top