Bongo Tambalale................

Na ambulance pia zipo!!!! Only in Tanzania
 
Ina maana anapiga miguu yote, hapa najiuliza kama alikuwa anafanya hivi baada ya kazi au ameikamata anaipeleka kituoni na huyo Mama nyuma labda ni mwenye chombo chake, pengine dereva wa chombo alitokomea baada ya kufanya kosa
 
bora hujaweka plate number
 
Ina maana anapiga miguu yote, hapa najiuliza kama alikuwa anafanya hivi baada ya kazi au ameikamata anaipeleka kituoni na huyo Mama nyuma labda ni mwenye chombo chake, pengine dereva wa chombo alitokomea baada ya kufanya kosa

No, huyo mama nyuma ni abiria anampeleka anakokwenda. Unajua mshara tu bongo hautoshi ni lazima kuwa shughuli nyingine ya ziada ya kuongeza kipato.
 
Sasa nimekuelewa Mkuu, ila kama ni muda wa kazi atakuwa amekiuka, labda tu iwe amaeshamaliza kazi akaendelea na shughuli nyingine hapo sawa
 
Ni makosa kufanya kazi nyingine ikiwa askari amevaa uniform, labda pengine huyo mama kisha mdabua
 
Mkuu nashukuru kwa kuniweka sawa, mimi sikuwa nafahamu, nilijua baada ya kazi na magwanda yako unaweza kuendelea na shughuli nyinginezo ispokuwa muda wa kazi tu ndio makosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…