Bongo superstars

KIMAROO

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
453
258
Hivi jamani nyie huwa mnawaelewa hawa wanaojiita mastaa wa Bongo?? unakuta mtu anajiita staa anajivimbisha mbele za watu lakini hana mahala pakuishi pakueleweka, Akili ya kuwekeza hawana matokeo yake wakiporomoka kidogo tuu wanaishia kuombaomba hivi hwajifunzi toka kwa mastaa wa nje?? si wamwangalie hata Chamilioni sasa hivi anampango wakuuza bodaboda zenye jina lake baada yakutoa simu.ELIMIKENI NYIE MALIMBUKENI acheni kulewa sifa za kijinga....pia mbona nyie siyo wabunifu yaani mnaigana siyo watangazaji, wanamuziki wala waigizaji hamuwezi kuja na style yenu binafsi???? KHAAA!!!!!! .........
 
Kuna mastaa Bongo? Huwa najiuliza mara nyingi swali hili nisikiapo watu wakijiita mastaa. Sidhani kama kuna staa (kwa maana halisi ya ustaa) yeyote hapa Bongo. Nitajieni mmoja ili nimchambue. Eti mtu akiingia kwenye uigizaji wa filamu za ajabu ajabu zisizo na mbele wala nyuma tayari anajiita staa. Wenzetu kule Ulaya mastaa ni watu wenye mafanikio makubwa katika fani zao na tayari wametengeneza fedha za kutosha, na wanajulikana kimataifa kutokana na weledi wa kazi zao.
 
kwanza hapa bongo nani star!? binafsi sijaona, mastaa wa kuonesha makalio majukwaani ndo nimewaona wa kike kwa wa kiume
 
Mzee punch na Baba V mko right hapa Bongo hakuna na lazima wawe wabunifu kama kweli wanataka kufika level hiyo wanayojivisha
 
Kuna mastaa Bongo? Huwa najiuliza mara nyingi swali hili nisikiapo watu wakijiita mastaa. Sidhani kama kuna staa (kwa maana halisi ya ustaa) yeyote hapa Bongo. Nitajieni mmoja ili nimchambue. Eti mtu akiingia kwenye uigizaji wa filamu za ajabu ajabu zisizo na mbele wala nyuma tayari anajiita staa. Wenzetu kule Ulaya mastaa ni watu wenye mafanikio makubwa katika fani zao na tayari wametengeneza fedha za kutosha, na wanajulikana kimataifa kutokana na weledi wa kazi zao.

bro unamtazamo km wangu kila cku nabishana na wa2 bongo akuna staa ni upuuzi m2pu ustaagani m2 akiandkwa 2 gazetini eti staa hana ata mchango kwa jamii inayo mzunguka acha familia yake ya wa2 wanne tu.bongo ulimbukeni tu wasanii washamba,wahandishi waudaku nao washamba 2.ndio maana wakiznguana kdogo full kuchafuana
 
star mwamvita makamba wakuu,anamiliki mjengo wa nguvu hapa mjini na bado kaenda kuzikusanya south africa.wengine wahuni wanaoishi kwny filam uchwara na music wa bongo flava wakijifunika mwavuli wa ustaa,nadhani kwetu hatujapata fasiri ya celebrity maana watangazaji wa radio au tv nao huwa mastar,so mtu anaepata upenyo wa kusikika au kuonekana kwny vyombo vya habari hujipa na kupewa u-star.hopeless!
 
Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza maskini wenye majina, sanaa iwe ni kazi. By Lord Eyez feat. Johmakin.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Bongo kuigana kwa wasanii mbona ndio kawaida mkuu....sijawahi ona watu hawana vision kama these guys!
 
alafu omba ukutane nao sehemu za starehe wanavyojitunisha lakini waulize ni wangapi hata wana acount bank... hawajui hata kama kuna kushuka kisanii so ili uheshimike katika jamii inabidi financial status yako iwe vizuri na hili linawezekana tuu kwa kuwekeza. cyo kukunua mixer, desktop na kinanda mna weka getto alafu mnaita studio then mnariinga eti nina studio.... wananikera mimi hawa hawajui tuu
 
Superstar BONGO??? Kuna mtu aliimbaga huu wimbo...MC NAPE Sijui alienda wapi tu......
 
In simple words a celebrity is a person whose life is of interest to the public.

Means kila kitu anachofanya kuna watu wanataka kujua kwa mabaya au mazuri.

So you dont need to have lots of money, kuwa intelligent, wala kuwa na mchango kwenye jamii kuwa celebrity.(maarufu nadhani in kiswahili)

Ndo mana marekani macelebrity wengi (wengine kwenye county yao tu huko, wengine hata High school) ila kuna A-list superstars ambao lazima wawe na kilemba cha ukweli na uwe global unakubalika. Kama wakina Brangelina, Jayz and Beyonce.

Mchango wangu watu waelewe kwanza
 
Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza maskini wenye majina, sanaa iwe ni kazi. By Lord Eyez feat. Johmakin.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
nilimuheshimu sana lord lakini kwa hili heshima yake imeshuka sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom