African princess
Senior Member
- May 15, 2018
- 110
- 189
Inaonyeshwa channel gani mkuu?Habari zenu wakuu,natumai weekend ilikuwa poa sana kwa upande wenu,kwangu ilikuwa ya kipekee msiniulize kwanini.
Wangapi wanafatilia bongo starsearch muda huu,tutete mawili matatu kwa ujio mpya wa bongo starsearch.
Sta Swahili kwenye king'amuzi cha startimes pekee.Inaonyeshwa channel gani mkuu?
Marudio yaliyopita ni kila siku,ya mwaka huu ni kila jumapili saa 3 kamili usikuMbona kama ni marudio ya vipindi vya msimu ulopita
Madam hakuna marudio ya mchana? Sisi wengine kazi zetu za usikuMarudio yaliyopita ni kila siku,ya mwaka huu ni kila jumapili saa 3 kamili usiku
Zaidi akiwepo salama inanogaje.Nasubiri muda ufike nicheke
Marudio jeZaidi akiwepo salama inanogaje.