Bongo Star search 2019

Newword

JF-Expert Member
Dec 2, 2019
326
299
Nimefuatilia mchuano huu na nimebaini kwamba baadhi ya majaji wanakatisha tamaa vipaji vipya kwa kutoa lugha za kejeri.Mfano wa lugha hizo ni kama vile

1. We huwezi kabisa
2.We unapiga kelele huimbi
3.Jaribu kutazama wasanii wengine.

Tujaribu kuwapa moyo vijana wetu si kuwavunja moyo.
 
Juzi wakasema hatoki mtu next week ina maana siku hiyo itapigwa nusu final pamoja na faino????
 
Back
Top Bottom