Agent-47 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 782 Reaction score 2,791 Jul 10, 2014 #1 wakuu mimi ni mwandishi wa scripts (movies scripts), naomba ushauri jinsi gani naweza kuwapata wahusika ili scripts zangu ziwezwe kuchezwa filamu
wakuu mimi ni mwandishi wa scripts (movies scripts), naomba ushauri jinsi gani naweza kuwapata wahusika ili scripts zangu ziwezwe kuchezwa filamu
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,346 Jul 11, 2014 #2 de_Meddy said: wakuu mimi ni mwandishi wa scripts (movies scripts), naomba ushauri jinsi gani naweza kuwapata wahusika ili scripts zangu ziwezwe kuchezwa filamu Click to expand... Nadhani makampni kama Steps na Al Riyami wana ofisi, jaribu kuwaulizia. NB: Ukitazama filamu nyingi za Bongo huwa wanaambatanisha na namba za simu, tumia hiyo fursa.
de_Meddy said: wakuu mimi ni mwandishi wa scripts (movies scripts), naomba ushauri jinsi gani naweza kuwapata wahusika ili scripts zangu ziwezwe kuchezwa filamu Click to expand... Nadhani makampni kama Steps na Al Riyami wana ofisi, jaribu kuwaulizia. NB: Ukitazama filamu nyingi za Bongo huwa wanaambatanisha na namba za simu, tumia hiyo fursa.
F Fay Mastories Member Joined Jun 20, 2014 Posts 49 Reaction score 3 Jul 11, 2014 #3 wazinguaji hao!..
Murano JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 2,056 Reaction score 1,129 Jul 11, 2014 #4 uko sahihi mkuu kweli kabsaa