[ame]http://www.youtube.com/watch?v=81y3tR_xpS0[/ame]
hiyo boti yenyewe kituko kitupu,halafu ukija cheki wananchi kuna mama hapo anayaandaa mafunza auze,na jamaa mwingine anamchoma gorila,hao askari wanachukua mlungula live
fuatilia mpaka mwisho utajifunza mengi,enjoy na bolingo vilevile