Bongo muvi bwana...!

wanaiga kwenye muvi au wanaigiza kwenye maisha ya kweli
 
Tatizo la Tanzania kuanzia serikali na watu wake wote nasema wote, ni watu wa kucopy na kupaste! Kipi ambacho hatujaiga? Neno ufisadi lenyewe tumeiga toka Kenya!
 
Kuna watu bado wanaangalia uchafu huu labda vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…