bongo movies watasubili sana

bongo movies watasubili sana

Hiv n hzhz muv za jini likitaka kuvuka barabara linaangalia kushoto na kulia kwanza ili lisijegongwa na gari
 
hivi huwa hazitolewi tunzo kama bongo fleva...?
 
I'm frozen... lakini ondoeni shaka wapenzi wa movie za kibongo coz' at the end of this year nitaanza rasmi kutoa movie zisizo na ubabaishaji kama wa Part I & II zisizo na sababu ya msingi!!
 
Ni kupoteza muda tu kuangalia hizi bongo movie.....
 
Back
Top Bottom