bongo movies watasubili sana

bongo movies watasubili sana

watu wali waimba hawa bongo movie bongo lala,mwingine akasema ukitaka machangu classic unawapata bongo movie
 
hata mimi nilitizama, kwa kweli haikuwa na mvuto kabisa, bubu anaongea na kipofu anamwelewa.
 
mi mwenyewe nimeiona jana usiku jamani eti kipofu then anajiangalia kwenye kioo anapaka make up anajiuliza naona nimeshapendeza sasa!! dah kwa kweli kubuni kugumu

bora umekuja mkuu walishaanza kunishika ulongo!
 
Hizi movie za bongo ni vtuko kabisa kuna moja dada mmoja ilikua kulia yeye akafumba macho na kuanza kucheka, haya nyngne ilikua kwenye kukojoa jamaa kumbe anakopo la mafuta ya cherehani limetobolewsa ndo hlo anamwaga maji mara si kajisahau na kopo likaonekana yani kwa ufupi ni vilaza wengi waliokosa ujasiri wa maisha ndo wako huko na hawapo serious kbs
 
kwa kawaida hizi movie zenu mi huwa siangali kabisaaa sema siku 1 nilikuwa home napiga msosi bahati mbaya kwenye tv walionyesha movie jamaa wako kwenye gari alafu sasa kuonyesha gari inakimbia wakawa wanafast forward daa nilicheka sana
 
In reality upofu huwa una viwango vyake! Nilisoma primary na kipofu alikuwa ana saa ya disco
 
we acha tuu kuna nyingine niliona mtu anaigiza kama ni jini kafika kwenye barabara eti akaangalia kushotona kulia then akakimbia maana kuna gari lilikuwa linakuja kasi, jamani nilicheka sana maana navyojua mi jini alitakiwa kupaa angani tuu pale au anapita na hakuna kugongwa na gari
 
kwa kawaida hizi movie zenu mi huwa siangali kabisaaa sema siku 1 nilikuwa home napiga msosi bahati mbaya kwenye tv walionyesha movie jamaa wako kwenye gari alafu sasa kuonyesha gari inakimbia wakawa wanafast forward daa nilicheka sana

Ha! Ha! Ha! Dah, hiyo kali!
 
Back
Top Bottom