Bongo movie waweka historia duniani

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,013

HIYO MOVIE(IGIZO) INATOKA JUMATATU TAREHE 26 LAKINI INAANZA KUONYESHWA SIBUKA MAISHA TAREHE 23 NA 24 THEN NDIPO IINGIE MTAANI TAREHE 26.

big up think tanks wa Bongo movie maana tushazoea films za wenzetu zinaanzia cinema halls kwanza then kwenye dvd then baadae sana kwenye Tv stations lakini bongo hapa wamekuja na formula yao ya kuanzia kwenye Tv station halafu kitaani.
BIG UP YOURSELF,

MASSIVEEEEE.
 
mgeni mwenzangu umeniaibisha
 
Tv then cd then cinema hall

Itachacha mapema sana labda kwenye tv awe amepiga mpunga mrefu
 
Mleta uzi ulisari wapi ndio ukaja humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…