BOngo Movie team akijifua Leaders

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
Kuna papmbano la hisani kuchangia waanga wa milipuko ya mabomu Gongo la Mboto kati ya wasanii wa filamu na wale wa muziki wa kizazi kipya hawa wakuu wa Bongo movie wakijifua kwujiweka sawa kwa pambano hilo....



NB: Nasikia Marcio Moximo kocha wa zamani wa Taifa Stars naye yumo kwenye kikosi cha Bongo movies team si unajua aliekti movie kadhaa hapa Bongo
 
Wazushi tu hao hamna lolote.na huyo ben mbona kaa shosti aiseee?
 
Namwona Dude hapo...wakae mkao wa kuibiwa simu anytime hao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…