bongo magazine washafanya yao...

Akili zako ka mume wa nifah.... Endeleeni wapumbaza hao hao ...
 
acha sifa we ndio una copy uko
 
acha sifa we ndio una copy uko

Siwezi kupoteza muda wangu kunbishana na Wewe ila bahati nzuri wanaotambua uwezo na kipaji changu ndiyo watakuwa Mashahidi wazuri. Angalia hiyo Post huko Bongomagazinetz imewekwa lini na Saa ngapi kisha nakuomba rudi huku JF angalia Mimi niliiandika lini na Saa ngapi pia.

Ungekuwa na uwezo hata wa robo tatu tu nilionao Mimi nadhani ungetamba mno ila bahati mbaya sana Mwenyezi Mungu alitufanya Watu ambao ni ' Talented and Charismatic ' kuwa Wachache mno hapa duniani hivyo sishangai Wewe kuja tena bila hata ya chembe ya aibu kusema kuwa Mimi ndiyo nimeitoa huko.

Sasa kwa kukudhihirishia Kipaji changu Kesho nakuja na Jambo lingine la Kijamii ambalo nimelifanyia Utafiti / Uchunguzi jana na leo na nitakuja nalo humu humu na nitakuomba Kesho usikae mbali na hii hii ID kisha nitakuomba nikishaiandika tu pitia katika Blogs zote unazozijua kisha iangalie kama wanayo uje unipe mrejesho.
 
Akili zako ka mume wa nifah.... Endeleeni wapumbaza hao hao ...

Mume wangu kakukosea nini jamani? Sio kwa kumuandama huku [emoji24]
Daaah mwana tungekuwa tunajuana ningehisi labda unadhani namega demu/mkeo... Maana sio kwa "hate" hii....

Kila siku lazima uongee vitu negative kuhusu Mimi... Vipi kwani ninja??
 
Daaah mwana tungekuwa tunajuana ningehisi labda unadhani namega demu/mkeo... Maana sio hate "hate" hii....

Kila siku lazima uongee vitu negative kuhusu Mimi... Vipi kwani ninja??

Tatizo ni kwamba umemchukua Demu Nifah kirahisi ambapo yawezekana Yeye kasota muda mrefu kwa kuwa Sumuless na Domo Kitofa hivyo it is so obvious kuwa lazima tu atakuwa anakuchukia Brother. Bora sisi tulio date na Migari yetu ya Mikaa ukininunia afadhali na ukinitongozea nitashukuru vile vile ili tugawane shida vizuri.
 
Hahah daaahh!! Good point...

Ujue shemeji huwa nawafahamu watu kadhaa wanaomchukia Bold kwa sababu hii ila sikujuaga kama huyu Ninja naye yumo...
Nifah wakonaye tu kila siku enzi hizo, badala watupie voko wao wanabishana tu kuhusu Kiba VS diamond... Mara Cdm VS Ccm..

Shushushu mbobezi sitakagi masihara mimi!!
 

Achana nao Shemeji yangu wa Kutukuka Wewe nikanyagie tu Dada yangu Nifah hadi apaone Upareni Usangi ni mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…