Bongo kwa mafuriko kiboko yao.............

Bongo kwa mafuriko kiboko yao.............

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
R P C MORO AGEUKA PAPARAZI MAFURIKO YA DUMILA




kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro'RPC' Faustine Shilogile akiwapiga picha wananchi wanaovuka mto Mkundi baada ya daraja la mto huo lililopo Tarafa ya Dumila Wilaya ya Kilosa kukatwa na mafuriko
​
Wananchi wakivuka mto Mkundi
​
RPC Shilogile akiendela na kazi hiyo ya upararazi huku akishuhudia na Bodigadi wake

Akiziangalia picha alizopiga kupitia kamera ya simu yake ya kisasa

KAMANDA wa Polisi mkoa wa Morogoro Faustine Shilogile juzi alinaswa na kamera za Mtandao huu akiwa bize na kazi ya upaparazi akipiga picha matukio yaliyojiri kwenye mafuriko yaliyotokea januari 22 Tarafa ya Dumila Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Picha na Dustan Shekidele,Morogoro
​
 
ww hii picha ya zaman sana hii kwanza mpaka leo hii Faustine Shilogile yupo makao makuu kitengo cha upelelez tangu kama wa 5 leo ww unatuambia amepiga picha juzi
 
Back
Top Bottom