Na shangaa mtu anapiga kelele za viwanda havijatengenezwa na Magufuli , wakati barabara na umeme hakuna. Hii ilikuwa ni from scratch ya Nchi Ya Viwanda
Ungesema tu Bongo kama Nairobi Marekani mabali sana. Kama ni baraba ra kwa East Afrika zungumzia Kenya ndo mfano halisi hako kakipande ni kafupi sana ukikinganisha na wenzetu Kenya basi ni yale yale akipenda chongo huita Kengeza.
Hizi ndoto sio za leo wala kesho kutwa...ndoto za vijiweni na watu wasiotaka kushughulisha akili zao...
Daraja la Busisi 3km ni 700B, now do the math 45km from Mbweni or 60+ from City Center to Znz itagharimu how much, puting all other factors constant..hapa tunaongelea 10T plus for a short route to Mbweni.
Na return yake ni nn and for how long?tunaenda kufuata bidhaa gani znz ku justfy hio gharama?