Hili swali limekua likinisumbua kwa muda kidogo, hivi kwa nini graduates wengi wa information technology wanafikiria kutengeneza inventory system na kuziuza kwa wanabiashara bongo??
Nasema hivo coz almost wote nliokutana nao wananambia wanatengeneza inventory system, hata humu JF nimeona post nyingi watu wanatangaza inventory system walizotengeneza.
My question why?? Na ina maana matatizo ya kua solved na information technology ni inventory system peke yake? Bongo matatizo ya kusolve mbona yamejaa sana! na Do these business men really need the inventory system coz sioni aliyetengeneza akauza akafanikiwa!! What am i missing??